Elections 2010 Countdown; Vurugu uchaguzi huu Oktoba 2010

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Sababu kwa nini nasema inaweza kutokea vurugu mwaka huu

  1. vyombo vya Habari TBC1,ITV na Radio nyingine kupendelea upande mmoja
  2. vyombo vyote vya usalama kupendelea upande wa CCM
  3. TUME YA uchaguzi kuujumu wapizani
  4. Serikali kwa ujumla kunyima vyama vya upinzani fursa ya kupiga kampeni
  5. Makampuni ya simu kuujumu upinzani
  6. CCM inajua kwamba itashindwa sasa itumia njia yoyote kuiba kura
  7. Magazeti yenye mlengo wa kulia na CCM kutishiwa kufungwa (


Hayo yote ni kutokana na UMMA WA WATANZANIA KUCHOKA NA UTAWALA HUU. NGUVU YA UMMA NDO ITAKAYOWAADHIBU

NGUVU YA UMMA NGUVU YA MUNGU

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom