Uchaguzi 2020 Countdown Special: Siku 28 kabla ya Uchaguzi,Utafanyika Oktoba 28. Nani ni nani?

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Hii ni countdown maalumu kuelekea siku ya Uchaguzi mkuu Tarehe 28.10.2020.

Shamrashamra ni nyingi na kampeni zimeshika kasi maeneo mbalimbali ya nchi.Visa na vimbwaga havikosekani pia.

Ni dhahiri wengine wamekata tamaa wakiamini hakuna kitakachobadilika mambo ni yaleyale.

Wengine wakiuona mwaka 2020 Kama mwaka mgumu kisiasa kwasababu ya wagombea katika nafasi ya Uraisi wote wawili wana ushawishi mkubwa kwa wananchi.

Tupashane hapa matukio ndani ya siku 28 kuelekea Uchaguzi.

Siku 28 za kipekee katika historia ya Uchaguzi mwaka 2020.
Watanzania wana jukumu kubwa mbele yao la kumchagua kiongozi/viongozi watakao liongoza Taifa katika miaka mitano.

Leo ni siku ya Kwanza Kati ya zile siku 28
Day 1
 
Kuelekea trh 28 hali ndiyo hii, siku yenyewe tunaweza cubuebua

IMG_20201001_105347.jpg
 
Lissu Atosha 2020.

Mpaka leo kila kitu, na kila alama, na kila mtu anaona Lissu ndie anastahili kuwa Rais wa JMT Nov. 2020.

Tumpe kura zetu.
 
Watu wapo na mzuka wa jambo lao 28 October!
Giza la ondolewa kwa Mwanga wa tochi za simu!
Ama kweli jambo letu lina kwenda kutimia kwa jasho na dm
 

Attachments

  • VID-20201001-WA0004.mp4
    4.5 MB
Back
Top Bottom