Countdown on the End of Obama's presidency [Photos]

..what a man what a man what a man, what a good good maan...yes he iis!..
 
America kwa Ubaguzi wao wamem rank Obama katika Marais 10 wabovu zaid katika Marekani
 
Americans will miss his great speeches!

Mi Rais ya Africa ilivyo Mijitu ya ku copy na ku paste Miaka ya Baadae lazima atakuja Kifaa Kama cha Ghana ataichukua na kuiingiza Maabara then anachomoka nayo kuja kuaga Raia wake
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mi Rais ya Africa ilivyo Mijitu ya ku copy na ku paste Miaka ya Baadae lazima atakuja Kifaa Kama cha Ghana ataichukua na kuiingiza Maabara then anachomoka nayo kuja kuaga Raia wake

:)
Ni hapo asahau kutoa vipengele vilivyoongelea race.
 
Mi Rais ya Africa ilivyo Mijitu ya ku copy na ku paste Miaka ya Baadae lazima atakuja Kifaa Kama cha Ghana ataichukua na kuiingiza Maabara then anachomoka nayo kuja kuaga Raia wake
Hahahaaa. Afrika na viongozi wasanii.
 
mwenzangu bora umenisaidia maana kanishambulia utafikiri nimemkosea yeye personally....wakati kupitiwa kwa binadamu ni jambo la kawaida tu
Yaani pole mwenzangu yaani amekushambulia utafikiri katoto kadogo usiejua" A" wala "B"
 
Uwe unasoma kabla hujauliza ili kuficha uwezo wako mdogo wa akili.

Ukisoma hapo juu mwandishi kasema huyo binti alibaki nyumbani kujisomea maana ana test hivyo aliangalia hotuba ya baba yake kupitia tv.

wapi wamesema alibaki nyumbani akawa anaangalia hotuba kwenye TV?

unamtukana mwenzio hana akili wakati kumbe we ndo zuzu lisilojijua
 
wapi wamesema alibaki nyumbani akawa anaangalia hotuba kwenye TV?

unamtukana mwenzio hana akili wakati kumbe we ndo zuzu lisilojijua
Sio tatizo lako, nimegundua kusoma vizuri hujui. Haya ndio matatizo ya elimu ya MEMKWA. Tafta mtu hapo jirani anaejua kusoma vizuri akusomee utaona sehemu ilipoandikwa hivyo.
 
wapi wamesema alibaki nyumbani akawa anaangalia hotuba kwenye TV?

unamtukana mwenzio hana akili wakati kumbe we ndo zuzu lisilojijua
mkuu humu jf kuna watu wa kila aina wengine ni wa kuwasamehe tu..maana unaweza kijikuta unajibizana na mtoto wa miaka 13....mtu mzima aliye mature hawezi kukurupuka kutoa lugha chafu bila sababu za msingi
 
Back
Top Bottom