Council on Foreign Relations: Lessons from Tanzania's Authoritarian Turn

Timm Wu

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
506
1,000
Tunaendelea kuwaletea habari na kuwaelimisha na kuwafungua macho CCM - because you are clueless airheads na hamwelewi kinachoendelea duniani - mmebanwa kwenye kona, hamjitambui!

Nukuu kidogo:
"The alarming reports out of Tanzania have become commonplace. Current Tanzanian President John Magufuli, who swept into office on a popular anti-corruption platform, has been presiding over a shocking decline in political and civil rights in the country"

Soma zaidi:
Lessons from Tanzania’s Authoritarian Turn
 
wined

JF-Expert Member
Nov 1, 2015
2,128
2,000
Kweli wasomeshe wajue kizungu wakutusi.
Umesahau ww juzi tu pale ukiwa primary ulikuwa unakimbia mchakamchaka unaimba nyimbo za kuisifu CCM.

Betoratekha

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
322
1,000
Ukitaka kushinda mapambano hapa ulimwenguni tumia kwa kuboresha zaidi njia ile ile anayotumia mpinzani wako kupambana na wewe. Hata maandiko matakatifu yanasema " Kwa kipimo kilekile mpimiacho ndicho mtakachopimiwa".
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,233
2,000
Tunaendelea kuwaletea habari na kuwaelimisha na kuwafungua macho CCM - because you are clueless airheads na hamwelewi kinachoendelea duniani - mmebanwa kwenye kona, hamjitambui!

Nukuu kidogo:
"The alarming reports out of Tanzania have become commonplace. Current Tanzanian President John Magufuli, who swept into office on a popular anti-corruption platform, has been presiding over a shocking decline in political and civil rights in the country"

Soma zaidi:
Lessons from Tanzania’s Authoritarian Turn
wanalo mwaka huu.

risasi dozeni 3 kwa Lissu walidhani wanawinda digidigi ambaye hata wangemkosa ingekuwa poa?
wacha wakione cha mtema kuni sasa!!
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
9,953
2,000
Hili linasikitisha sana. Hasa ukiangalia hitimisho kuwa aina yabkiongozi huweza kutengeneza njia ya nchi itakakoelekea. Rais wa Tanzania na wa Ethiopia wamechukuliwa kama mifano.

Kuchaguliwa kwa kiongozi wa Ethiopia kumesababisha mwelekeo mzuri wa Ethiopia nzima.

Na kwa upande mwingine, kuchaguliwa kwa Rais wa Tanzania kumebadilisha ghafla uelekeo wa nchi, na kuifanya nchi ghafla kuwa na uelekeo mbaya.

Kwetu wananchi inaonesha umuhimu wa kuwa makini wakati wa uchaguzi. Tendo la siku moja linaipeleka nchi shimoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom