Could Mahiga make a good president?

....Sounds like he knows his iishh....

http://www.youtube.com/watch?v=ZexHUTdKspo

Nyani Ngabo,
One does not make good president by making good speeches or being eloquent in queen's language- if that was the case then, Robert Mugabe would have been the BEST PRESIDENT.. That said, I can't dispute Mahiga's capabilities, because he has never been tested for such position... I surely respect his capabilities in executing international diplomacy
 
Mahiga alinifurahisha alivyopangua uozo alioufanya Membe katika issue ya senior members of the Tanzanian foreign service kujihusisha na biashara haramu ya silaha na waasi wa Congo. Aliwajibu kisomi BBC, akapangua hoja eminently kwa kuwa mkweli kwamba hawezi kujua individuals wanafanya nini lakini serikali kama serikali haihusiki (kinyume na Membe aliyetaka watu waamini kwamba yeye anajua kila mfanyakazi wa serikali anachofanya) na kuahidi uchunguzi kufanyika kufuatilia swala hilo.

Mi nikajua issue ndiyo imekufa, sikusikia tena. Akawa kashazima moto.

Tatizo Mahiga sijui kama ataweza intrigues za politics za bongo, kakaa nje miaka mingi sana. Lakini labda ndicho tunachohitaji. Ila mzee yuko makini si katika kuongea na presentation tu, bali hata kwenye mantiki.

Sasa hivi baada ya kumaliza muda wake kama balozi wa TZ at the UN, Ban Ki Moon kamchukua kamtupa Somalia huko kama special envoy.

Jamaa ukimsikiliza akikwambia ana Ph.D unakubali, unlike some Dr's I know.
 
Nashawishika sana kufikria na kutaka kujua...kama kweli Mahiga ataweza kupambana na siasa za bongo hasa zenye fitn majungu na visasi mitandao etc....labda atengeneze mtandao wake wa watu wa usalama...labdaa ingawa hawajui tenaa wengi vijana wadogo wazee wenzake watakuwa wameshastaafu....ila anafaa..sana
 
Labda asigombe kupitia CCM. CCM hawataki kabisa mtu mwenye hoja za nguvu. Wao urais hutegemea uko kundi gani na uwe tayari kufumbia upuuzi (maana mambo yao mengi ni ya kipuuzi). Ukiwa mtu makini sahau kabisa kuwa rais kupitia CCM. Wanajua umakini wa rais utawapa taabu maana 90% ya mambo yao ni ya kipuuzi yasiyo na mantiki
 
possibly popular among the diaspora demographics but he is a political alien at home. Never won a race, little party credentials, and no domestic achievements to show.

among the diplomats, Membe and Migiro have stronger profiles and ties to movers-and -shakers in Dar-es-Salaam. Mahiga tends to resonate among a U.S.A. constituency of immigrants who are negligible in numbers, most all of whom couldn't vote for him if they wanted to. And it does not help bolster his party stripes that he has never raised a C.C.M branch in New York despite the eons of service he has horded in the city , unlike high profile efforts of lesser-known envoys in other capitals in Europe.

and that helps explain why in mulling the 2015 hopefuls, Mahiga is not even in the conversation
 
Nyani Ngabo,
One does not make good president by making good speeches or being eloquent in queen's language- if that was the case then, Robert Mugabe would have been the BEST PRESIDENT.. That said, I can't dispute Mahiga's capabilities, because he has never been tested for such position... I surely respect his capabilities in executing international diplomacy

.....where do you expect presidential asipirants to get experience for the presidential job.....we know those of you who dont want Mahiga to come back home..are behind the lobbying at UN to have mahiga get SMALIA job....but in matter of fact ....the guy wanted to retire and go back to IRINGA to seek ubunge....mkashtuka nyie wanamkakati wa 2015 That you cannot beat him!!!....people like membe think they can stand mahiga.....

MAHIGA FOR PRESIDENCY 2015!!!!!!!....kama CCM hamtaki atagombea tu!!!!...there a lots of AVENUES.....apart from your suicidal MAJITAKA politics!!
 
[/B]

Mahiga has got the potential but come 2015 how old will he be?
 
possibly popular among the diaspora demographics but he is a political alien at home. Never won a race, little party credentials, and no domestic achievements to show.

among the diplomats, Membe and Migiro have stronger profiles and ties to movers-and -shakers in Dar-es-Salaam. Mahiga tends to resonate among a U.S.A. constituency of immigrants who are negligible in numbers, most all of whom couldn't vote for him if they wanted to. And it does not help bolster his party stripes that he has never raised a C.C.M branch in New York despite the eons of service he has horded in the city , unlike high profile efforts of lesser-known envoys in other capitals in Europe.

and that helps explain why in mulling the 2015 hopefuls, Mahiga is not even in the conversation

Again, all over spiteful. Not long ago you once were among them. Not so long ago you once was!! Wao-Sisi divide, so unnecessary. Please quit the hatred na hoja bado zitasimama.
 
unajua kutokana na UN ilivyo inakubidi mtu ufanye kazi hata kama hautaki kufanya kazi, kwa ajili kama hautaki kufanya kazi utatolewa. Mahiga mpaka arudi TZ, afanyanye kazi TZ ndio tutampima kama anaweza na anatufaa sisi wa TZ. kwa sasa hivi tu early kujua akipewa madaraka ya kula atafanyaje.
tujikumbushe kidogo..
balali alifanya kazi IMF 21 years na alifanya kazi vizuri sana, alivyorudi bongo aliaanza kazi vizuri lakini baadae
 
Ujinga mtupu hapa
Mnampima mtu anavyofanya kazi nje ya mipaka na si kuwahudumia watu wake.
wazimu kweli kweli
 
The man is good but dont think can lobby for 2015 presidency! One thing is clear, unlike our present president, Mahiga appears competent and I am sure he cant avoid debate with other aspirants.
 
Hayo mambo gani!
Mwana diplomasia mzuri, awe Rais; Profesa mzuri, awe Rais; Mcheza mpira mzuri, awe Rais;.....Afrika hii jamani!

Huyu ni seasoned diplomat. Diplomasia anaifahamu lakini uwanja wa siasa haubembelezi kama diplomasia ifanyavyo. Tunaye Salim, A. wapi alifika? Pia kuna Javier Pérez de Cuéllar ambaye alisifika UN kuliko hata Ki-moon wa sasa lakini alipoijaribu siasa kwa kupambana na Alberto Fujimori hakujua atokee mlango upi.

Wapo waliofanikiwa kama Kurt Josef Waldheim, baada ya kutoka UN aliingia siasa na kuwa Rais wa Austria lakini huyu alikuwa akieleweka hata kabla ya kuwa Sec Gen wa UN. Alikuwa na jina kubwa ktk historia ya nchi kiasi cha kutaka kuleta controversies za world war II.

Wangapi wanamfahamu Mahiga nchi hii? Ataweza kuanza kujifunza siasa za TZ ktk huo umri wa over 60!
 
Nadhani wengi hafahamu Miga alikuwa nani kabla ya kwenda huko UN, Dakta Mahiga alikuwa ni mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa kwa muda mara baada ya kuondolewa Dakta Kitine, Dakta Kitine aliondolewa pamoja na Dakta Alex Khalid kwa kashfa ya uingizaji wa magari kiujanja, Mahiga wakati akishika nafasi hiyo kwa muda alikuwa msaidizi wake ni Marehemu Mahmood Issa ndie alikuwa mkurugenzi wa ndani, kwa muktadha huo Dakta Mhiga anao uwezo mkubwa na anaijua byema sana siyasa ya bongo.
 
Nyani Ngabo,
One does not make good president by making good speeches or being eloquent in queen's language- if that was the case then, Robert Mugabe would have been the BEST PRESIDENT.. That said, I can't dispute Mahiga's capabilities, because he has never been tested for such position... I surely respect his capabilities in executing international diplomacy
Excellent mkuu, this Hon Ambassador can know his job,diplomacy, well and good.
Lakini kuja kwenye upresidaa mambo huku ni hatari.
JK imemchukua miaka 10 kupenya na kuupata urais(miaka 5 ya ndoto, miaka 5 kujaribu).
Na unaona hali yake ya urais.
Mahiga hatapita hata udiwani kwa hali ya siasa za bongo leo!
 
Mahiga alinifurahisha alivyopangua uozo alioufanya Membe katika issue ya senior members of the Tanzanian foreign service kujihusisha na biashara haramu ya silaha na waasi wa Congo. Aliwajibu kisomi BBC, akapangua hoja eminently kwa kuwa mkweli kwamba hawezi kujua individuals wanafanya nini lakini serikali kama serikali haihusiki (kinyume na Membe aliyetaka watu waamini kwamba yeye anajua kila mfanyakazi wa serikali anachofanya) na kuahidi uchunguzi kufanyika kufuatilia swala hilo.

Mi nikajua issue ndiyo imekufa, sikusikia tena. Akawa kashazima moto.

Tatizo Mahiga sijui kama ataweza intrigues za politics za bongo, kakaa nje miaka mingi sana. Lakini labda ndicho tunachohitaji. Ila mzee yuko makini si katika kuongea na presentation tu, bali hata kwenye mantiki.

Sasa hivi baada ya kumaliza muda wake kama balozi wa TZ at the UN, Ban Ki Moon kamchukua kamtupa Somalia huko kama special envoy.

Jamaa ukimsikiliza akikwambia ana Ph.D unakubali, unlike some Dr's I know.

Yes, kama ni mtu makini na mkweli, hizi siasa za mizengwe wanazozieneza wenzake hapa bongo sidhani kama ataziweza.Naamini ni mmoja wa watu ambao wako well informed na yanayoendelea na anaheshimika. Ila siku tu atakapotangaza nia, lazima ataitwa raia wa nci nyingine au mwajiriwa wa CIA au lolote lile la kumuogopesha akae huko aliko. Sincerely, we need another type of political drivers. Hawa waliopo kuna sehemu wamechutama wanadhani hatuwaoni wanatoa uchafu kumbe tunawachora.
 
As far as I know Maiga isn't clean at all. Post za UN walizopata akina Migiro na Maiga zinatokana na ushikaji wa karibu sana wa Moon Kiban na JK. Bila filimbi ya JK Maiga and Migiro wouldn't be where they are now. Bora hata Migiro anaweza kuwa rais. Those who know Maiga know him better: corrupt.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom