Uko sawa kabisa lakini kwa maelezo ya mleta mada inaelekea mkataba wa Mofaya na coastal Union umekuwa affected moja kwa moja na kutolipwa mshahara alikiba.
Yani Mofaya ilibidi imalizie malipo ya awamu ya pili ya Million 40 kama mkataba unavyosema haijalishi alikiba kalipwa mshahara au hakulipwa, lakini kwa maelezo ya mleta mada mofaya haitomalizia hiyo 40 milion ili kufidia mshahara wa miezi 4 wa alikiba kitu kinachofanya mkataba wa mofaya uwe directly proportion na alikiba
haviko sawa habari ya mleta iko general hajaingia ndani zaidi.
huo mchakato wa kuhamisha hizoo fedha unaweza ukafikiri nijambo la siku moja lakini inaweza ikawa limetumia miezi 4.
uongozi wa mofaya na uongozi wa alikiba ulikaa ukakubaliana izoo mil 40 zitahamishiwa kwenye acc ya kingkiba kutoka mofaya kwasababu ilikuwa moja ya expenses za mofaya.