Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

My Take
Wakenya subirini kurudi kwa kristo ndiyo mu electrify charcoal SGR yenu.
Screenshot_20211124-231303.jpg
 
Emu zetu znaingia lin mana si kwa kusubri namna hii
Order ya kwanza ambayo inaingia mwaka huu sio EMU bali ni dual engine electric na diesel propulsion kwenye kichwa kimoja hizi ziko 6 from Germany na coaches 59 from Korean company Sung shin rolling stock wale walioleta zile deluxe coaches 2015
 
Back
Top Bottom