carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,249
Tz hakuna data.Nilikuuliza ulete za Tz Kwanza, ziko wapi mbona sijaona???
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Tz hakuna data.Nilikuuliza ulete za Tz Kwanza, ziko wapi mbona sijaona???
🤣 🤣 Tz data iko, sema umvivu kama wenzako wengi, ama hujui kutafuta.... Mi Niko nayo, unataka kuona MGR-Tz imebeba tani ngapi Kila mwaka tangu 2010 hadi 2020??
Hebu leta Habari kamili, mwaka Jana tulikopa wapi na shilingi ngapi? Weka full list hapa kila mwaka na taasisi tuliyokopa.Tz data iko, sema umvivu kama wenzako wengi, ama hujui kutafuta.... Mi Niko nayo, unataka kuona MGR-Tz imebeba tani ngapi Kila mwaka tangu 2010 hadi 2020??
Hii comment yako inanikumbusha vile hua mnapenda kusema Tz inafanya projects kutumia hela yake, wakati nikiangalia quarterly reports ambazo huchapishwa na BoT (Bank of Tanzania) kuhusu Unchumi wa TZ, inaonyesha karibia kila mwaka hua mnachukua mkopo wa between $1.4 - $1.8 Billion USD kutoka nje ya nchi, sema tu watanzania wengi hua hawajishughulishi au pia wanahabari hawajisumbui kuripoti haya mambo? Pesa hizo zinaenda wapi??? Alafu baadae mijitu inaamini ikiambiwa "hizi ni pesa zetu za ndani"
SGR Kenya top speed is 80km/h average operating speed ni 60 km/h!Freight top speed ni 100km, average speed is 80km/hr. So your calculations are based on wrong assumptions!
why not? imediately after loading area! only the quay area is not suppossed to have catenary poles!A container marshaling yard with catenary poles? Hihi
for realBTW hii picha ilikua sijaiangalia vizuri, were it not for the tiny yellow structures/houses, unaweza fikiria hii picha imepigwa somewhere in a 1st world country..
current debt to GDP situation around EAC🤣 🤣 Tz data iko, sema umvivu kama wenzako wengi, ama hujui kutafuta.... Mi Niko nayo, unataka kuona MGR-Tz imebeba tani ngapi Kila mwaka tangu 2010 hadi 2020??
Hii comment yako inanikumbusha vile hua mnapenda kusema Tz inafanya projects kutumia hela yake, wakati nikiangalia quarterly reports ambazo huchapishwa na BoT (Bank of Tanzania) kuhusu Unchumi wa TZ, inaonyesha karibia kila mwaka hua mnachukua mkopo wa between $1.4 - $1.8 Billion USD kutoka nje ya nchi, sema tu watanzania wengi hua hawajishughulishi au pia wanahabari hawajisumbui kuripoti haya mambo? Pesa hizo zinaenda wapi??? Alafu baadae mijitu inaamini ikiambiwa "hizi ni pesa zetu za ndani"
World class,BTW hii picha ilikua sijaiangalia vizuri, were it not for the tiny yellow structures/houses, unaweza fikiria hii picha imepigwa somewhere in a 1st world country..
Angalia vile umeshaacha tuliokua tunayaongelea (Data ya tani za mizigo iliobebwa na reli za MGR) umeshadakia data za madeni at first opportunity you get ilihali unajua wazi you have no data to post if and when asked to? Wewe itabidi nikuulize miaka yako manake unabehave kama mtoto wa juzi.... I bet sahii nikitoa mfano mwengine unakimbilia hio kuuliza data yake nayo ilhali hauna chochote unawea kuleta.. bure kabisa!Hebu leta Habari kamili, mwaka Jana tulikopa wapi na shilingi ngapi? Weka full list hapa kila mwaka na taasisi tuliyokopa.
Data za kenya na Tz zipo kimkakati zaidi. Kila upande unatoa data zake Kwa ajili ya ku save interest fulani. Katika taasisi za nje huko. Mmoja anajiminya aonewe huruma ni masikini, mwingine anajimwambafai anaonekane ana pesa ili akopesheke zaidi. Hivyo data za hawa watu wawili hazi reflect uchumi na uhalisia wa mambo katika nchi husika.
Kenya mmetoa takwimu last week za biashara hapa Afrika mashariki na wameweka data za nchi zote kutoa Tz, do you know what that means?
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
current debt to GDP situation around EAC
Duh, we jamaa kumbe hujielewi kabisa eh?Angalia vile umeshaacha tuliokua tunayaongelea (Data ya tani za mizigo iliobebwa na reli za MGR) umeshadakia data za madeni at first opportunity you get ilihali unajua wazi you have no data to post if and when asked to? Wewe itabidi nikuulize miaka yako manake unabehave kama mtoto wa juzi.... I bet sahii nikitoa mfano mwengine unakimbilia hio kuuliza data yake nayo ilhali hauna chochote unawea kuleta.. bure kabisa!
And you have evidence to back this up or is this the part where you behave like a typical Tanzanian from the United Republic of LazylandSGR Kenya top speed is 80km/h average operating speed ni 60 km/h!
Kwahivyo Kama data kutoka TRC inakua manipulated, unataka tufanye data analysis tukitumia nini unaishi dunia gani wewe !!Duh, we jamaa kumbe hujielewi kabisa eh?
Wewe si ndio ulikuwa unapanua mdomo hapa kuwa kila mwaka tunakopa? Sasa ni vibaya kukwambia uweke source hapa tumekopa wapi na shilingi ngapi.. Au unaropoka tu bila kujisikiliza?
Data za mzigo wa MGR hazitakusaidia chochote inabidi ujiongeze maana nishakwambia data zinakuwa manipulated to serve some purpose. Wacha ujinga..
Sasa kama unataka ubishi wa data, Sawa tufanye data analysis.. Sio tuishie kwenye data as numbers pekee..
Una kichwa kigumu sana.. Jaba effects nini?Kwahivyo Kama data kutoka TRC inakua manipulated, unataka tufanye data analysis tukitumia nini unaishi dunia gani wewe !!
Nakumbuka M7 alipozuru Mombasa port ilikua iko live on NTV, Lets just say 'shook' is the word that best described his feeling after witnessing the sheer magnitude of the port and the infrastructure development around and within the port. He was like, "I cannot believe the amount of development, this place is its own city"World class,
Hii infrastructure hapa inagonga hadi Durban port,
Museveni aliona hiii2019 akachanganyikiwa.
Na tukimaliza hayo, madhumuni ni nini? itakusadia kuongeza mizigo kwa MGR yenu ama unatafuta sababu za kupoteza mda tu? manake mwisho wa siku bado MGR yetu inabeba mizigo mingi..Una kichwa kigumu sana.. Jaba effects nini?
Fanya analysis Kwa kutumia data hizo hizo zilizopo kijana.. Wewe si unasema hiyo route fupi ya msa nairobi inabeba mzigo mwingi kuliko Dar-Kigoma-Mwanza sio?
Haya tuchambue katika muktadha huo. Na tujue ni bidhaa gani haswa zinabebwa.. Tusijadili figures za mzigo.. Tujadili mizigo yenyewe na mahali inakopelekwa...
Umeolewa Sasa au bado?
Sasa hiyo detailed analysis unaweka hapa au unabaki tu na maneno kwamba mnabeba mzigo mwingi bila kujua ni mizigo gani na inakwenda wapi?Na tukimaliza hayo, madhumuni ni nini? itakusadia kuongeza mizigo kwa MGR yenu ama unatafuta sababu za kupoteza mda tu? manake mwisho wa siku bado MGR yetu inabeba mizigo mingi..
Hata hizi SGR projects, Kenya itakua inabeba mizigo mingi kuliko ya TZ (mark my words) na 5 years from now bado utakua uko hapo hapo unangojea " tujue ni bidhaa gani haswa zinabebwa.. Tusijadili figures za mzigo.. Tujadili mizigo yenyewe na mahali inakopelekwa..."
Alafu hapo nime-highlight, unasema tusitumie data manake data inakua manipulated, lakini baadae unataka tutumie data hizo hizo kufanya detailed analysis..... Alafu nikikuuliza ulete data zako unasema Tz hakuna Data ilihali mimi najui iko... haujielewi kijana, kakojoe ulale!
BTW Upanuzi wa Bandari ya Mombasa unaonekana uko ahead of schedule for once!World class,
Hii infrastructure hapa inagonga hadi Durban port,
Museveni aliona hiii2019 akachanganyikiwa.
Kwa kifupi hauna lolote la maana la kuchangiaSasa hiyo detailed analysis unaweka hapa au unabaki tu na maneno kwamba mnabeba mzigo mwingi bila kujua ni mizigo gani na inakwenda wapi?
Hiyo diesel train ya mchina inabeba mzigo saivi ili angalau mpate pesa ya ku service deni.. Na bado hamtafikia lengo maana gharama za usafirishaji ni kubwa. Ndio maana Kuna nchi ziko reluctant kuitumia hiyo reli sababu ya gharama japo mmewapatia na eneo la bure la bandari kavu nairobi.. Bado internal conflicts from mombasa residents wakiona uchumi wao unashuka na hasa transportation and warehousing.. Hivyo bado sana kujitapa hapa na reli zenu hizo.
Ugua pole pole...Kwa kifupi hauna lolote la maana la kuchangia