Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Tz hakuna data.

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
🤣 🤣 Tz data iko, sema umvivu kama wenzako wengi, ama hujui kutafuta.... Mi Niko nayo, unataka kuona MGR-Tz imebeba tani ngapi Kila mwaka tangu 2010 hadi 2020??

Hii comment yako inanikumbusha vile hua mnapenda kusema Tz inafanya projects kutumia hela yake, wakati nikiangalia quarterly reports ambazo huchapishwa na BoT (Bank of Tanzania) kuhusu Unchumi wa TZ, inaonyesha karibia kila mwaka hua mnachukua mkopo wa between $1.4 - $1.8 Billion USD kutoka nje ya nchi, sema tu watanzania wengi hua hawajishughulishi au pia wanahabari hawajisumbui kuripoti haya mambo? Pesa hizo zinaenda wapi??? Alafu baadae mijitu inaamini ikiambiwa "hizi ni pesa zetu za ndani"
 
Tz data iko, sema umvivu kama wenzako wengi, ama hujui kutafuta.... Mi Niko nayo, unataka kuona MGR-Tz imebeba tani ngapi Kila mwaka tangu 2010 hadi 2020??

Hii comment yako inanikumbusha vile hua mnapenda kusema Tz inafanya projects kutumia hela yake, wakati nikiangalia quarterly reports ambazo huchapishwa na BoT (Bank of Tanzania) kuhusu Unchumi wa TZ, inaonyesha karibia kila mwaka hua mnachukua mkopo wa between $1.4 - $1.8 Billion USD kutoka nje ya nchi, sema tu watanzania wengi hua hawajishughulishi au pia wanahabari hawajisumbui kuripoti haya mambo? Pesa hizo zinaenda wapi??? Alafu baadae mijitu inaamini ikiambiwa "hizi ni pesa zetu za ndani"
Hebu leta Habari kamili, mwaka Jana tulikopa wapi na shilingi ngapi? Weka full list hapa kila mwaka na taasisi tuliyokopa.

Data za kenya na Tz zipo kimkakati zaidi. Kila upande unatoa data zake Kwa ajili ya ku save interest fulani. Katika taasisi za nje huko. Mmoja anajiminya aonewe huruma ni masikini, mwingine anajimwambafai anaonekane ana pesa ili akopesheke zaidi. Hivyo data za hawa watu wawili hazi reflect uchumi na uhalisia wa mambo katika nchi husika.

Kenya mmetoa takwimu last week za biashara hapa Afrika mashariki na wameweka data za nchi zote kutoa Tz, do you know what that means?

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
 
A container marshaling yard with catenary poles? Hihi
why not? imediately after loading area! only the quay area is not suppossed to have catenary poles!

Hamburg port marshelling yard
51142154_1815151251930619_4927063753280716800_n.jpg

marshalling-yard-2417461_1280.jpg
 
🤣 🤣 Tz data iko, sema umvivu kama wenzako wengi, ama hujui kutafuta.... Mi Niko nayo, unataka kuona MGR-Tz imebeba tani ngapi Kila mwaka tangu 2010 hadi 2020??

Hii comment yako inanikumbusha vile hua mnapenda kusema Tz inafanya projects kutumia hela yake, wakati nikiangalia quarterly reports ambazo huchapishwa na BoT (Bank of Tanzania) kuhusu Unchumi wa TZ, inaonyesha karibia kila mwaka hua mnachukua mkopo wa between $1.4 - $1.8 Billion USD kutoka nje ya nchi, sema tu watanzania wengi hua hawajishughulishi au pia wanahabari hawajisumbui kuripoti haya mambo? Pesa hizo zinaenda wapi??? Alafu baadae mijitu inaamini ikiambiwa "hizi ni pesa zetu za ndani"
current debt to GDP situation around EAC
 
BTW hii picha ilikua sijaiangalia vizuri, were it not for the tiny yellow structures/houses, unaweza fikiria hii picha imepigwa somewhere in a 1st world country..

2936692_SGR_Freight_Services_are_Fast_Efficient_and_Reliable_-_YouTube.mkv_20210921_145805.069.jpg
World class,
Hii infrastructure hapa inagonga hadi Durban port,
Museveni aliona hiii2019 akachanganyikiwa.
 
Hebu leta Habari kamili, mwaka Jana tulikopa wapi na shilingi ngapi? Weka full list hapa kila mwaka na taasisi tuliyokopa.

Data za kenya na Tz zipo kimkakati zaidi. Kila upande unatoa data zake Kwa ajili ya ku save interest fulani. Katika taasisi za nje huko. Mmoja anajiminya aonewe huruma ni masikini, mwingine anajimwambafai anaonekane ana pesa ili akopesheke zaidi. Hivyo data za hawa watu wawili hazi reflect uchumi na uhalisia wa mambo katika nchi husika.

Kenya mmetoa takwimu last week za biashara hapa Afrika mashariki na wameweka data za nchi zote kutoa Tz, do you know what that means?

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Angalia vile umeshaacha tuliokua tunayaongelea (Data ya tani za mizigo iliobebwa na reli za MGR) umeshadakia data za madeni at first opportunity you get ilihali unajua wazi you have no data to post if and when asked to? Wewe itabidi nikuulize miaka yako manake unabehave kama mtoto wa juzi.... I bet sahii nikitoa mfano mwengine unakimbilia hio kuuliza data yake nayo ilhali hauna chochote unawea kuleta.. bure kabisa!
 
Duh, we jamaa kumbe hujielewi kabisa eh?

Wewe si ndio ulikuwa unapanua mdomo hapa kuwa kila mwaka tunakopa? Sasa ni vibaya kukwambia uweke source hapa tumekopa wapi na shilingi ngapi.. Au unaropoka tu bila kujisikiliza?

Data za mzigo wa MGR hazitakusaidia chochote inabidi ujiongeze maana nishakwambia data zinakuwa manipulated to serve some purpose. Wacha ujinga..

Sasa kama unataka ubishi wa data, Sawa tufanye data analysis.. Sio tuishie kwenye data as numbers pekee..
 
Kwahivyo Kama data kutoka TRC inakua manipulated, unataka tufanye data analysis tukitumia nini :rolleyes::rolleyes::rolleyes: unaishi dunia gani wewe !!
 
Una kichwa kigumu sana.. Jaba effects nini?

Fanya analysis Kwa kutumia data hizo hizo zilizopo kijana.. Wewe si unasema hiyo route fupi ya msa nairobi inabeba mzigo mwingi kuliko Dar-Kigoma-Mwanza sio?

Haya tuchambue katika muktadha huo. Na tujue ni bidhaa gani haswa zinabebwa.. Tusijadili figures za mzigo.. Tujadili mizigo yenyewe na mahali inakopelekwa...

Umeolewa Sasa au bado?
 
World class,
Hii infrastructure hapa inagonga hadi Durban port,
Museveni aliona hiii2019 akachanganyikiwa.
Nakumbuka M7 alipozuru Mombasa port ilikua iko live on NTV, Lets just say 'shook' is the word that best described his feeling after witnessing the sheer magnitude of the port and the infrastructure development around and within the port. He was like, "I cannot believe the amount of development, this place is its own city"

Dyd82jbh.jpg

86348841_4366549590054094_7852545297765892096_o.jpg

And BTW, Uganda Revenue Operates a second office at Nairobi ICD

211218_7f41ed4f046f9d39985e929176b86f75.jpg
 
Una kichwa kigumu sana.. Jaba effects nini?

Fanya analysis Kwa kutumia data hizo hizo zilizopo kijana.. Wewe si unasema hiyo route fupi ya msa nairobi inabeba mzigo mwingi kuliko Dar-Kigoma-Mwanza sio?

Haya tuchambue katika muktadha huo. Na tujue ni bidhaa gani haswa zinabebwa.. Tusijadili figures za mzigo.. Tujadili mizigo yenyewe na mahali inakopelekwa...

Umeolewa Sasa au bado?
Na tukimaliza hayo, madhumuni ni nini? itakusadia kuongeza mizigo kwa MGR yenu ama unatafuta sababu za kupoteza mda tu? manake mwisho wa siku bado MGR yetu inabeba mizigo mingi..
Hata hizi SGR projects, Kenya itakua inabeba mizigo mingi kuliko ya TZ (mark my words) na 5 years from now bado utakua uko hapo hapo unangojea " tujue ni bidhaa gani haswa zinabebwa.. Tusijadili figures za mzigo.. Tujadili mizigo yenyewe na mahali inakopelekwa..."

Alafu hapo nime-highlight, unasema tusitumie data manake data inakua manipulated, lakini baadae unataka tutumie data hizo hizo kufanya detailed analysis..... Alafu nikikuuliza ulete data zako unasema Tz hakuna Data ilihali mimi najui iko... haujielewi kijana, kakojoe ulale!
 
Sasa hiyo detailed analysis unaweka hapa au unabaki tu na maneno kwamba mnabeba mzigo mwingi bila kujua ni mizigo gani na inakwenda wapi?

Hiyo diesel train ya mchina inabeba mzigo saivi ili angalau mpate pesa ya ku service deni.. Na bado hamtafikia lengo maana gharama za usafirishaji ni kubwa. Ndio maana Kuna nchi ziko reluctant kuitumia hiyo reli sababu ya gharama japo mmewapatia na eneo la bure la bandari kavu nairobi.. Bado internal conflicts from mombasa residents wakiona uchumi wao unashuka na hasa transportation and warehousing.. Hivyo bado sana kujitapa hapa na reli zenu hizo.
 
World class,
Hii infrastructure hapa inagonga hadi Durban port,
Museveni aliona hiii2019 akachanganyikiwa.
BTW Upanuzi wa Bandari ya Mombasa unaonekana uko ahead of schedule for once!

Berth 22 is supposed to be completed by 2022, and berth number 23 is scheduled to be completed by 2023 as per the 2015 masterplan

1632678756888.png

1632679117317.png

But from google maps (Remember google maps doesn't show in realtime so its almost always outdated) , looks like Berth 22 will be done by December 2021, and berth 23 is already on course, they will probably finish by Dec 2022 ( 1 year ahead of the plan!!!)

1632679046695.png

CC: Tony254
 
Sasa hiyo detailed analysis unaweka hapa au unabaki tu na maneno kwamba mnabeba mzigo mwingi bila kujua ni mizigo gani na inakwenda wapi?

Hiyo diesel train ya mchina inabeba mzigo saivi ili angalau mpate pesa ya ku service deni.. Na bado hamtafikia lengo maana gharama za usafirishaji ni kubwa. Ndio maana Kuna nchi ziko reluctant kuitumia hiyo reli sababu ya gharama japo mmewapatia na eneo la bure la bandari kavu nairobi.. Bado internal conflicts from mombasa residents wakiona uchumi wao unashuka na hasa transportation and warehousing.. Hivyo bado sana kujitapa hapa na reli zenu hizo.
Kwa kifupi hauna lolote la maana la kuchangia
 
Ugua pole pole...

Mnahitaji ukombozi wa kweli kweli, kifikra na kiuchumi. Na sioni wa kufanya hivyo maana mnachezewa cheusi chekundu toka KANU hadi Sasa ni reggae Ile Ile tu..
 
Back
Top Bottom