Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Well, so hypothetically if there is no data it means the train doesn't ferry any cargo right?

Hivi unajua mzigo wa UN unaopita hapo kwenye Mgr? Construction equipment and materials to lake zone je?

Au unaleta ubishi wa data zenu za kikenya? Haya weka data zenu hapa na primary source of your data(raw data)

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Umerudi tena hapa pa data 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nimekuuliza data za MGR yenu usharudi pale kwa guesswork ya unajua unajua, wewe unahitaji maombi
 
Umerudi tena hapa pa data Nimekuuliza data za MGR yenu usharudi pale kwa guesswork ya unajua unajua, wewe unahitaji maombi
Mimi sio muumini wa data, maana najua data manipulation inayofanywa katika data Kwa ajili ya malengo fulani.

Nyinyi wakenya mnapenda sana namba ila hamjui hesabu, yani vichwa vyenu mkishasoma double, twice, thrice.. Et AL ndio bhas tena hamjui kuhoji. Jaribu kujiongeza wewe.. Hao wanaotoa hizo data zenu ulishawahi kujiuliza wanatoa wapi hizo data? Unajua vile wanafanya sampling na methodology inayotumika kutafuta na kujumuisha data ghafi hadi kupata hizo namba mnazokariri kama kasuku?

NBS wametoa data juzi, vipi biashara Kati ya Tanzania na kenya iko vipi? Do they provide figures? Maana nyinyi mnapenda data sana.

huko ndiko wanakojifichia kuondoa reality ya mambo
 
Frequency is not just about increasing the number of trains..... You see you don't just begin with axle load or Horse Power etc... They start with how much cargo do you need to be transporting per year and what type of cargo will it be...
Then depending on those two major factors, is when you can end up with the conclusion on frequency, axle-load, speed etc

For Kenya's case,

  1. They probably started with a user requirement of 20 million tones railway (They made it 22 million just to be on the safe side).
  2. Then they saw that the main type of cargo will be containerized cargo, and bulk/loose cargo like fuel,cement..etc basically no extra heavy metals are available in Kenya... So their calculations ended up concluding that 25t axle load is more than sufficient for 99% of Kenyan cargo.
  3. After knowing the amount of tones and the type of cargo, That's when they decide which frequency best serves the customers. Do you need a few powerful trains with low frequency or many trains doing higher frequency. They then concluded that since its mostly container cargo, its best if smaller trains leave every 3 hours rather than larger trains be forced to wait at the port for 8 hours to be full .. So higher frequency was chosen. now how do you have higher frequency on a single track railway? By building more side loops at short intervals (every 30 km if I remember correctly) to enable more trains to pass each other in order to enable the high frquency.

As For Tanzania's case....
  1. They started with a user requirement of 15 Million tones (They made it 17 million just to be on the safe side) as the projected cargo that will use rail after careful consideration.
  2. They were probably thinking of heavy metals and raw mineral deposits found in both Tanzania and DRC.. So they ended up concluding that you need heavier load per train because mineral deposits are heavy and can be accumulated over time and then be carried all at once.. That's how they arrived at 35t axle load as sufficient enough to carry heavy minerals without damaging the rail.
  3. After knowing the amount of tones and the type of cargo, That's when they decide which frequency best serves the customers. So as opposed to Kenya's case, they concluded that since its mostly heavy minerals that can be accumulated and carried at once, you don't need that many trips in a day. So you can have a train leaving every 8 hours but carrying double the cargo..

Kwahivyo hii mijadala ya axle load, loop lines/sidings, Horse power, length of train ....... These are not the main points, these are just the enablers, the main objective is/was tonnage and type of cargo.... We can argu all day about nitty gritty issues like speed, technology,..etc but at the end of the day, how much cargo you carry is all that matters..

Alafu BTW SGR ya Kenya inaweza kufikisha 35 million tonnes after upgrade

View attachment 1949972

Kwenya feasibility report wachina walisema kama tunataka kufikisha hio 35 million tonnes, itabidi tufanye electrification, treni ziongezwe kutoka 45 hadi 100, alafu loop points ziongezwe kutoka 30 hadi 42 kama sijakosea i.e itakua treni zinaweza kupishana every 15 km .. Lakini reli itabaki ile ile, ni vile tu itakua imeongezewa maridadi, lakini tayari vile ilivyo hio reli yenyewe imejengwa na uwezo wa kubebesha maximum of 35 million tonnes itakapofanyiwa upgrade, but at current design, 22 Million tones is the maximum.
All in all the type of cargo whether heavy minerals or light containers plus axle configuration of 25 tons or 35 tons both affect the final tonnage per annum are we together?
 
Katafute story ya Wode Maya, the whole reason Wode Maya alifukuzwa China ni kwasababu ya hio video... Anasema alipewa $10,000 USD aje afanye hio video na alipewa script ya kile atakachosema! Akatimiza yote except for one part ambapo aliambiwa aseme wakenya walikua wanatumia Giraffe kama means of transport kabla wachina watujengee SGR!

But anyway, kuna Video alifanya ya huko China kabla aje Kenya, ambapo alipanda bullet train ya 300kh/hr huko China, alafu akashuka na kupanda 'slow train' ya 160km/hr akiwa huko huko China... Sasa next series ya hio video ndo alikuja Kenya kupanda SGR ya Kenya ambayo ilikua ni exactly ile slow train aliopanda kule China, ndo hio video ikawekwa title hio kwamba "Kenya's SGR is Chinese slow train" manake hio SGR yetu ni sawa na ile slow train yao ya 160km/hr..........

So ata hio SGR yenu bado ni Chinese slow train!
chinese low speed train haikuwa 160km/h ila 120km/h na yenu ni diesel train kwa hiyo haijafikia hata ile low speed ya China!
 
All in all the type of cargo whether heavy minerals or light containers plus axle configuration of 25 tons or 35 tons both affect the final tonnage per annum are we together?
If you lived in a world where there was no color and everything was black and white, that would be true... but its not, hence the fact that Kenya SGR has a higher designed carrying capacity that the Tanzanian SGR. You can argue all day but the fact still remains.
 
Mimi sio muumini wa data, maana najua data manipulation inayofanywa katika data Kwa ajili ya malengo fulani.

Nyinyi wakenya mnapenda sana namba ila hamjui hesabu, yani vichwa vyenu mkishasoma double, twice, thrice.. Et AL ndio bhas tena hamjui kuhoji. Jaribu kujiongeza wewe.. Hao wanaotoa hizo data zenu ulishawahi kujiuliza wanatoa wapi hizo data? Unajua vile wanafanya sampling na methodology inayotumika kutafuta na kujumuisha data ghafi hadi kupata hizo namba mnazokariri kama kasuku?

NBS wametoa data juzi, vipi biashara Kati ya Tanzania na kenya iko vipi? Do they provide figures? Maana nyinyi mnapenda data sana.

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Sema tu wewe ni mvivu na hujui kutumia data katika argument, wacha kelelle nyingi ambazo hazitasaidia mtu yeyote... Kama NBS wametoa data na unataka kuiona si ukaitafute uilete hapa, unaniuliza mimi nikuletee sababu gani? ama ni google ndo haujui kutumia?? Watanzania msaidieni mwenzenu ajue kutumia mtandao..
 
242799208_4714384565260889_8146700367985268349_n.jpg
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom