Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Sioni steel structure ikining'ia!
images
Unaona vitu vyako wewe, Hakuna steel structure hapo. Yote ni concrete hio

1624023398001.png

1624023478848.png

1624024847228.png

This is how it looked like in the render.. Kenya SGR viaduct over tsavo park.

1624025063017.png
 
Hiyo ilijengwa huku in 1970s

TBT: TAZARA

7-juli-1976-ubergabe-der-tansania-sambia-bahn-die-ubergabe-der-zeremonie-der-tansania-sambia-an-kapiri-mposhi-zambia-fand-anfang-des-monats-geben-landocked-sambia-direkten-weg-zum-meer-es-war-finanziert-und-gebaut-von-china-und-lauft-von-kapiri-mposhi-nach-dar-es-salaam-foto-zeigt-die-chinesische-vize-premier-sun-chien-center-mit-l-r-prasident-seretse-khama-von-botswana-prasident-kaunda-von-sambia-hinter-kopf-gedreht-prasident-nyerere-von-tansania-und-prasident-sese-seko-von-zaire-mit-gehstock-kommen-zur-eroffnungsfeier-e11b1m.jpg

nyerere_with_kaunda_tazara.jpg

president-kenneth-kaunda-of-zambia-and-president-julius-nyerere-of-picture-id992107558

Haha, Si ndo hio inajengwa huko kwenu pia hapo phase 5!!! Alafu BTW AREMA is older than Chinese rail standards... Kwani unafikiri madaraja na standards za kujenga za mturuki ambae anafwatilia AREMA ni za juzi juzi? Everything is old tech.. the only thing that's changed ni metal alloys and technologies that make the building materials... Infact if you see some mega structure being built by new technology that has never been tested and proven, just know that they are experimenting on you to see if it works, Yani wewe ni test subject.
 
Kimba, it's insane to compare Tz SGR with Kenya SGRView attachment 1823019View attachment 1823020

It's insane indeed, ku compare madaraja ya mega structure ya Kenya , kitu ambacho column moja ni 58m tall na uchwara wenu ambao hata haufiki 5m .

Can you comprehend how wide and how tall this tructure is? Unahitaji mtu kumi na mbili washikane mikono ndo wazunguke column moja!
46428.jpg
 
so hiyo structure hapo juu si steel?
image-770.jpg
 
Maybe you should open up Windows Paint program and point exactly where you see steel structure, cause if you mean this steel👇👇
View attachment 1823431

That's the supporting steel for the Acoustic Barrier a.k.a Noise Deflector Shields

kenya-railways-sgr-presentation-19-638.jpg

SGR-in-Nairobi-National-Park.jpg

VFDftdC9n1UyNLkfcBpehil9XfsDd7m7T9eB6-sSIX0.jpg

suraimages_preview_782197293-the-standard-gauge-railway-bridge-crossing-over-the-nairobi-national-park.jpeg
Hiyo uliyoonyesha na hiyo base hapo chini ni steel maana navyojua mimi kwa jinsi ilivyokaa hivyo only a steel structure can be mounted kihivyo! kama huku 👇

tazara-pic.jpg
 
It's insane indeed, ku compare madaraja ya mega structure ya Kenya , kitu ambacho column moja ni 58m tall na uchwara wenu ambao hata haufiki 5m .

Can you comprehend how wide and how tall this tructure is? Unahitaji mtu kumi na mbili washikane mikono ndo wazunguke column moja!
46428.jpg
Huo urefu ilikuwa ni lazima kulingana na structure ya eneo husika, ukitafuta level ni lazima iwe hivyo hata fundi angekuwa mkunya angefanya hivyo hivyo au napo unataka kujisifu
 
Huo urefu ilikuwa ni lazima kulingana na structure ya eneo husika, ukitafuta level ni lazima iwe hivyo hata fundi angekuwa mkunya angefanya hivyo hivyo au napo unataka kujisifu
Structure ya Nairobi park ilikua si lazima, ilifanywa hivyo kwasababu tunajali wanyama!
 
Hiyo uliyoonyesha na hiyo base hapo chini ni steel maana navyojua mimi kwa jinsi ilivyokaa hivyo only a steel structure can be mounted kihivyo! kama huku 👇

tazara-pic.jpg
Your t-beam is made is steel, ours is concrete, simple! Google precast t-beam before you embarrass yourself
 
Back
Top Bottom