Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Hii kitu imeshaisha...vitu kama tuta vimekamilika,kutandika mataluma na kulaza rail wanamalizia , issue ni apa Dar mpka Pugu na fanceSGR Dar Moro update
Hii kitu imeshaisha...vitu kama tuta vimekamilika,kutandika mataluma na kulaza rail wanamalizia , issue ni apa Dar mpka Pugu na fanceSGR Dar Moro update
Hata Dar Pugu madaraja ya Nkrumah na Bakhresa yanaendaHii kitu imeshaisha...vitu kama tuta vimekamilika,kutandika mataluma na kulaza rail wanamalizia , issue ni apa Dar mpka Pugu na fance
Naona kile kipande cha kuanzia 145km tulichokua tunakizungumzia last time ni km kimeisha...nadhani update ya Dec or January kitakua kimeisha kabisa...City Center to Pugu naona kinaenda taratibu ..and still sijaelewa plan yao kutoka Buguruni kurudi town wananyanyua juu orHata Dar Pugu madaraja ya Nkrumah na Bakhresa yanaenda
Hii ngoma bado mzee ...April uko ndio mambo yatakua yameisha ila wanajitahidi sahv kazi nyingi zinaonekanaNaona kile kipande cha kuanzia 145km tulichokua tunakizungumzia last time ni km kimeisha...nadhani update ya Dec or January kitakua kimeisha kabisa...City Center to Pugu naona kinaenda taratibu ..and still sijaelewa plan yao kutoka Buguruni kurudi town wananyanyua juu or
Unajua kama pale Nkrumah kuna nguzo zimejengwa sasa zile zikikamilika basi ndo lile daraja la cable stay litapachikwa naona upande mmoja tayari! na Bakhresa by next release patakuwa tayari!Naona kile kipande cha kuanzia 145km tulichokua tunakizungumzia last time ni km kimeisha...nadhani update ya Dec or January kitakua kimeisha kabisa...City Center to Pugu naona kinaenda taratibu ..and still sijaelewa plan yao kutoka Buguruni kurudi town wananyanyua juu or
Wewe mbn sijawahi kukuelewa mkuu? Kwn huwa unaongelea juu ya nn tafadhali.The chief executive officer mr.mungu mkono of geza kiti mtu meat processing plant in subawanga is in arusha.
Stay tuned!!
kimefanyaje?
Expected in Januaryhivi rolling stock vipi?
Safi sana mkuu. Mlioko huko town msiache kutuwekea hapa nondo kama hizi.
Pa1 sn kiongozi.Safi sana mkuu. Mlioko huko town msiache kutuwekea hapa nondo kama hizi.