The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 37,808
- 82,276
Hahahahahahaaaaa.safi kwa kusurrender .. huo ndo uungwana
Hahahahahahaaaaa.safi kwa kusurrender .. huo ndo uungwana
Safi sn leo kdg nimekuelewa we falaHapa nimesurrender. Ukitaka battle nitafute kwa field ya Medical Microbiology and Biotechnology
Sizeso how do u tell yours is fokker 70 and not fokker 28?
Hata hyo graduates pia tumewaacha mbali sn nilikuwekea mchn hapa ukabishaIn Kenya registered graduate engineers are more than 17,101. Let me check the number of registered professional engineers and then we will add the total number and get the final results
Unaposhindwa kubali mjinga wwRegistered professional engineers ni 2,067.
Now let's add
17,101 + 433+ 2,067 = 19,601.
So mmetushinda na 950 engineers and remember these are 2019 figures wakati zako ni 2020.
Case closedhata uadd vip ujue sisi tuna engineers kuliko nyinyi..
pia, kuna jamaa mmoja kutoka kenya (nadhan alikuwa kiongozi kwenye board yenu) aliwahi kuja kwenye kongamano letu (ambalo mim mwenyewe nikikuwepo) akasema maengineers wa tanzania wapo wengi kuliko wa kenya
got no time to argue for that
afu mtu umesomea mambo ya biology sijui mambo gan unataka kuargue kuhusu mambo ya engineers.. mwanzo ulikuja na 2000 saiz umekuja na mengine .. mlete engineer twende sawa, because he may know a lot of things than you non engineer
Mm nilimwambia utazidisha idadi tu ngj tukuletee ushahidi akabisha, ss ameaibikaashabadili gear tayar .. eti wapo 19,000+ wakat mwanzo alisema wapo 2000
We mpuuzi nn, yn engineers ni utoto wkt ndiyo wanaofanya tunatamba hapa, mjinga kweli ww, kumbe ndiyo mana majengo yenu yanaanguka daily na kuua watu kwa ujinga km huu unaoleta.Watu wazima mnabishania utoto,
Ati number za registered engineers!!!
3rd world mentality.
I am not talking about locals in Kenya/Tanzania, it was just an open minded issue of knowing where the issue originated. Just perused previous responses and realised where the argument stands, thanks though.so this tendency of locals not wanting to register with local registration boards is only happening in Kenya only? every engineer has a number and so far a comparison is local registered engineers! And Tanzania beats Kenya by far!
The amount and quality of infrastructure in the next 5 - 10 years ndiyo itasema nani anao wengi. Pia the fact that ujenzi wa projects zetu kubwa unahusisha engineers wengi kuliko nyinyi unatosha kuelezea aina ya Engineers mlio nao.Kenya has five times the number of registered engineers as Tanzania
The exact Kenyan model train .... in use in China
Do you even understand what you have said?but not a first class as u claim in China ur model is slow train!
The other thing the Chinese one r electric trains!Do you even understand what you have said?
Classification of Railway has nothing to do with the train!!!!!!
1st class railway standard is about the railway itself! not the train!!
Alafu slow train in China is 160Km/hr just like your TZ SGR, fast train in China is above 300km/hr
Achana na huyo mwendawazamu ambae ako radhi avue nguo abaki uchi ili tu ashinde mjadala, next atakwambia dunia si duara manake yeye mwenyewe kama mtu binafsi hajawahi safiri hadi nje ya dunia na kuitazama kutoka huko nje! Ama atakwambia Tanzania ndo nchi pekee dunia nzima manake hajawahi safiri hizo nchi zengine na kuziona au kuhesabu na macho yake!Kafrican amekujibu kwa evidence halafu umeanza tabia ya kihuni ya kuhamisha goal- post. Ndio maana huwa siargue na Watanzania wazimu kama wewe.
No its dieselThe other thing the Chinese one r electric trains!