Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

SGR station Dar es salaam
tanzanya-1.png

dar-es-salaam.jpg

Dar Es Salaam Station, Tanzania
 
kiswahili fasaha ni kwamba ile mizigo yote wafanyabiashara wanaoamua mizigo yao ipite Kenya itasafiriwa kwa SGR .. ila kuna wengine wanapitisha Tanzania.. kazi kwako kujua ratio ya mizigo ya hizo nchi inayopita kati ya KE na TZ!
halafu sie hatujaweka restriction ya trucks halafu we have free room for price wars against SGR Kenya! Aisee hawa jamaa tunawanyima usingizi vibaya mno anagalia hata suala la coronavirus saa hii Uhuru anachekea chooni! Maana kila alichojaribu kupinga inambidi a-rectract his earlier stand...

MGR capacity yake ya kitoto sana ndio ulinganishe na sgr dume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom