Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

In 5years hio mabati shed itakua inakaa rusted kama slums za Mbagala.. hehe. Kumbe difference is price is obvious just by looking at quality of infrastructure. Local mabati sheds vs world class modern stations.
 
H

Hiyo sub station isikutie hofu ,wasi wasi wangu Je hiyo treni yenyu a.k.a mtambo wa gongo baada ya miaka mitano itakuwaje?
 
In 5years hio mabati shed itakua inakaa rusted kama slums za Mbagala.. hehe. Kumbe difference is price is obvious just by looking at quality of infrastructure. Local mabati sheds vs world class modern stations.
Hayo mabati yanaweza badilishwa kijana.
Ishu ninyi migarimoshi yenu.
 
Unajua kuna vitu ambavyo ni rahisi kuvirekebisha.
Asa hayo mabati???
Ninyi magari moshi yenu ndio itachukua gharama kubadilisha ila sisi mabati ni gharama ndogo sana.
Sijui umenielewa???
Hence what we've been saying all along, cheap now but expensive in the long run
 
Unajua kuna vitu ambavyo ni rahisi kuvirekebisha.
Asa hayo mabati???
Ninyi magari moshi yenu ndio itachukua gharama kubadilisha ila sisi mabati ni gharama ndogo sana.
Sijui umenielewa???
Ata nyinyi with time mtabadilisha hayo ma "bullet train" plus I think ni cheaper kubadilisha a diesel engine kuliko EMUs.
Mnaweka mabati ili mbadishe mara kwa mara? Why not build NOW for the long term to avoid such unnecessary repairs..cheap is expensive
 
Ile electrification ya kenya sgr ilifika wapi. It was to begin immediately according to masharia!
 
Ndoto zenu za alinacha ziliisha wapi?

Unajua kuna vitu ambavyo ni rahisi kuvirekebisha.
Asa hayo mabati???
Ninyi magari moshi yenu ndio itachukua gharama kubadilisha ila sisi mabati ni gharama ndogo sana.
Sijui umenielewa???
Yaani hawa jamaa ni Washamba na malimbukeni sasa, why do we have to put a concrete jungle as a roof for a train platform? SGR in Nairobi interferes with traffic as it crosses roads having no viaduct in the city! Why the he'll should anybody with senses put a concrete roof on a platform n let the SGR criss-crosses roads?
 
Ile electrification ya kenya sgr ilifika wapi. It was to begin immediately according to masharia!
It was never immediate but when there is need to and when we have the capacity to upgrade.Currently our Diesel electrics are serving as well.NO need now!!
 
Ndoto zenu za alinacha ziliisha wapi?
we plan to upgrade, that's not in question. What we don't have for now is fully RELIABLE, DEPENDABLE, GUARANTEED electric power supply to support the smooth running of the railway.
 
Yaani hawa jamaa ni Washamba na malimbukeni sasa, why do we have to put a concrete jungle as a roof for a train platform? SGR in Nairobi interferes with traffic as it crosses roads having no viaduct in the city! Why the he'll should anybody with senses put a concrete roof on a platform n let the SGR criss-crosses roads?
concrete roofs are durable and low maintenance, only needs painting.Mabati needs periodic replacement..
Hebu tuoneshe ni wapi kwa sgr Kenya kuna level crossing kutoka marshalling yard Mombasa to naivasha.The only place I know kuna level crossing in hapo kwa first mile(port mpaka kwa yard)na hakunanga traffic..
 
U don't put up a concrete roof where no floor or heavy load comes on top! Wacha ujinga! Ulaya nzima hawaweki concrete roof on platforms! As a matter of fact not safe incase of an explosion! BTW not all stations in Kenya r concrete roofs!
 
7uZusdG.jpg
58KJEHV.jpg
oxWco36.jpg
D2COrtX.jpg
6GFMW8l.jpg
D7-mIKyXkAARMB-
EFxbwLIUUAAHhHv
D3YdvmKXsAAVUhL
DzNdUJ1XQAcTGqX
 
It was never immediate but when there is need to and when we have the capacity to upgrade.Currently our Diesel electrics are serving as well.NO need now!!

Ati? Why did u then sign the electrification project in 2018? Or the $400mln went to Mafisadi?

Back
Top Bottom