Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,187
- 79,396
- Thread starter
- #4,241
Very low quality.Watu wengi wakionaga progress Video za kila mwezi ambazo huchukuliwa na Drone ikiwa juu sana wanaona reli ipo flat. Sasa angalia location ya Photographer hapa , Angalia tuta.
View attachment 1212622
View attachment 1212623
View attachment 1212624
Very low quality.
Ila tuk tuk tuk ni high quality!!!😁😁Very low quality.
Tuk Tuk Tuk alias Nginjangija!!! 🤣 🤣Ila tuk tuk tuk ni high quality!!!😁😁
Ila tuk tuk tuk ni high quality!!!
Reli ina viwango ,mbali na propaganda za watani walioangukia pua. 😀Watu wengi wakionaga progress Video za kila mwezi ambazo huchukuliwa na Drone ikiwa juu sana wanaona reli ipo flat. Sasa angalia location ya Photographer hapa , Angalia tuta.
View attachment 1212622
View attachment 1212623
View attachment 1212624
Hapo walipoteza muda kuremba muandiko wakati kazi mbovuchaajabu high quality yao ilishakongoroka kitambo kabla hata ya mradi kuchanganya
sijui hapa walitumia cement ya aina gani.....wakenya vituko sana
yaani kisehemu simple tu kwa ujenzi lakini kilichotokea ni matapishi..Hapo walipoteza muda kuremba muandiko wakati kazi mbovu
chaajabu high quality yao ilishakongoroka kitambo kabla hata ya mradi kuchanganya
sijui hapa walitumia cement ya aina gani.....wakenya vituko sana
kweli kabisa naiona hapo vile jinsi class one ilivyo kwenye ubora wakeInaitwa China class One!
Noise barriers are on Nairobi National Park and the designs for that were there in the ESIA report which had to be approved by NEMA before construction was permittedthat noise barrier over the Tsavo viaduct was not there during the launch of Mombasa-Nairobi rail!
And erected after the railway launch!Noise barriers are on Nairobi National Park and the designs for that were there in the ESIA report which had to be approved by NEMA before construction was permitted
View attachment 1213652
View attachment 1213654
SGR phase 2A imekua launched siku gani na bado iko testing phase saa hii... hahahaAnd erected after the railway launch!
I mean SGR phase 1SGR phase 2A imekua launched siku gani na bado iko testing phase saa hii... hahaha
Geza ulole.. the epic propaganda production machine.