Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,212
- 6,972
Yani hilo eneo ambalo liko green ndo unaliita semii Arid!!! we acha ulevi!!!! Nyinyi Tanzania hamjawahi ona wala kujua ukame na uhaba wa maji ni nini. Hata hapo dodoma ambapo ni semi arid, Mto rufuji hauko mbali na dodoma, kumaanisha water services inaweza kufikisha maji kirahisi....Kwanza nakuunga mkono kuhusu central part of Tz kuwa semi arid (Dodoma na Singida), ila mengine uliyo ongea umeongea kibepari zaidi nasiwezi kukulaumu. Tatizo la kaskazini mwa Kenya ilibidi litatuliwe toka awamu ya kwanza ila haikufanyika kwa sababu ya sera zenu.
Nyerere na serikali yake waligundua hili kutumia sera za kijamaa walitia nguvu na kusaidia kuboresha mazao yanayo kubali sehemu hizo na kuwekeza kwenye fursa chache zinazopatikana huko. Dodoma kilimo cha zabibu kiliwekewa mkazo na viwanda vya wine kujengwa, leo hii Dodoma ndiyo sehemu inayo ongoza kwa kuzalisha wine Tz na ndani ya E.A Tz inaongoza kwa kuzalisha wine. Dodoma pamoja na sababu zingine ilifanywa pia kuwa capital city. Magufuli amekuja kukazia, Leo hii ukifika Dodoma utashanga ujenzi unao endelea. So ardhi ambayo aina rutuba inajengwa majengo. Kama vile mnge amua capital yenu iwe Turkana, Nairobi watu wange lima. In my unbiased opinion at this rate Dodoma is going to be the most beautiful city in Tz in the next 10 yrs. Its central location is a plus. Bila kusahau sekta ya ufugaji Tz ni nchi ya pili kwa kuwa na ng'ombe wengi Africa na Dodoma ni wafugaji wakubwa hapa Tz wa mifugo mingi wakiwamo ng'ombe.
Singida a.k.a Singapore, ukifika utafuta kauli yako, kwanza hamna njaa, watu wanalima mazao rafiki na hali ya hewa. Mfano zao la kibiashara alizeti, hili ndiyo eneo linalo ongoza kwa kulima alizeti Tz. Viwanda vya mafuta ya alizeti vimetapakaa na mafuta yao yanauzwa nchi nzima pia wana export. Nimeeleza kwa uchache ila hamna namna unaweza uka compare semi arid areas za Tz na Kenya. Your politicians have failed you, msipende kuwatetea kila sehemu vitu vingine vipo uchi. Wangejenga ata vyuo vikuu huko Marsabit kuchangamsha uchumi. Nakuwekea picha, halafu waza huko Turkana pia mnaweza fanya hivi. View attachment 1202839View attachment 1202840View attachment 1202842View attachment 1202843View attachment 1202844View attachment 1202845View attachment 1202846View attachment 1202847View attachment 1202849View attachment 1202850View attachment 1202851View attachment 1202853View attachment 1202854
Hebu linganisha hizi satelite image utofautishe huko northern Kenya Vs Northern Tanzania
Tena mito mmejaza kibao
Sasa linganisha na mito yetu iliobaki
Hio sehemu ya Marsabit hivi ndo inakaa
Maeneo mengine huko marsabit ni full blown desert -- Chalbi
Pitia hapa uangali marsabit town ambayo iko upande wa pili wa mlima (Sehemu ilio kama osasis) inavyoendelea kujengwa tangu tuanze ugatuzi
bunophotography.com - bunophotography Resources and Information.
bunophotography.com is your first and best source for all of the information you’re looking for. From general topics to more of what you would expect to find here, bunophotography.com has it all. We hope you find what you are searching for!
bunophotography.com