Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

DlIy6l6WwAEfWvA.jpg

DlIzGtdWwAEBdw0.jpg

DlIzP_kW0AA9zhl.jpg
 
Kenya watu wamerundikana eneo moja, hii inatokana na fursa kuwa sehemu chache na serikali kutizama sehemu chache. Tz watu wametapakaa na sehemu nyingi zina miundo mbinu rafiki. Ndiyo maana leo hii uko Kenya maeneo kama Turkana, Marsabit n.k nikama kulitokea vita watu waka kimbia. Ata ukiangalia mgawanyiko wa cities Tz umetapakaa. Dar, Arusha, Mwanza, Mbeya, Tanga and Dodoma. Ukisafiri Tz uta elewa kwanini vituo ni vichache, li nchi likubwa mno. Mfano ukitoka Dar to Mwanza unapishana na mapori yaliyojaa ukijani, milima na mabonde ya kupendeza then unakutana na mji. That will go on mpaka unafika Mwanza. Hii observation alinipa mtalii aliyetoka Zambia to Tz via TAZARA, alisema bila ata kuambiwa kuwa ametoka Zambia mtu utagundua kwa kutizama uoto asili na mpangilio wa watu jinsi wanavyo ishi. Then nikafanya observation yangu nikiwa nasafiri nika gundua hilo.Tz is simply beautiful, jitahidi siku uje ujione uzuri wa dunia.
My two cents.........

Central Tanzania is almost just as remote/arid as Northern Kenya. This is an impediment to development in your country since this is a major stambling block to inter connectivity of Cities/townships. The only reason why Kenya has a bigger economy than TZ is because the arid/remote areas are restricted to the Northern part of the country.

Previous Governments have simply chosen to ignore the Northern parts of the country in as far as development is concerned due to the very minimal potential and expected returns from investment. The Focus has solely been on the Southern part of the Country, not a very good strategy but it has worked so far. The Kibaki regime sought to change this through the lapset project that mainly seeks to create a transit economy in Northern Kenya by connecting S.Sudan and Ethiopia to Lamu as well as leverage on the Lokichar oil reserves.

TZ on the other hand has been forced to develop very remote areas in the Central part of the country (case in point, Dodoma) with minimal to zero returns for the sake of inclusion and inter-connectivity to farflang cities and townships like Mwanza that have more potential.
 
drunker point

ha haaaaaa
 
drunker point

ha haaaaaa
Very true........... I schooled near the Isebania/Sirare border in Kuria. Back in those days buses plying the Mwanza - Dar route used to travel from Mwanza - Sirare - Nairobi - Namanga - Arusha/Moshi - Dar arguably a longer route than simply from Mwanza to Dar through remote central Tanzania.

I'm not sure whether this still happens today. My point ...... I guess travelling through central Tanzania was not worth the trouble, speaks volumes on the state of development of that central region of the Country.
 
mpumbavu siku zote anaachwa na upumbavu wake......

hatujuani mzee.......hivyo kuwa mpole
Wewe lazima uwe na akili mbili kama kukuunaropokwa hadithi mingi ,alafu ukiletewa evidence mko na stesheni sita unaaza matusi badala ya kum engage.....IQ ni yako ni ya panzi wewe
 
My two cents.........

Central Tanzania is almost just as remote/arid as Northern Kenya. This is an impediment to development in your country since this is a major stambling block to inter connectivity of Cities/townships. The only reason why Kenya has a bigger economy than TZ is because the arid/remote areas are restricted to the Northern part of the country.

Previous Governments have simply chosen to ignore the Northern parts of the country in as far as development is concerned due to the very minimal potential and expected returns from investment. The Focus has solely been on the Southern part of the Country, not a very good strategy but it has worked so far. The Kibaki regime sought to change this through the lapset project that mainly seeks to create a transit economy in Northern Kenya by connecting S.Sudan and Ethiopia to Lamu as well as leverage on the Lokichar oil reserves.

TZ on the other hand has been forced to develop very remote areas in the Central part of the country (case in point, Dodoma) with minimal to zero returns for the sake of inclusion and inter-connectivity to farflang cities and townships like Mwanza that have more potential.
Kwanza nakuunga mkono kuhusu central part of Tz kuwa semi arid (Dodoma na Singida), ila mengine uliyo ongea umeongea kibepari zaidi nasiwezi kukulaumu. Tatizo la kaskazini mwa Kenya ilibidi litatuliwe toka awamu ya kwanza ila haikufanyika kwa sababu ya sera zenu.

Nyerere na serikali yake waligundua hili kutumia sera za kijamaa walitia nguvu na kusaidia kuboresha mazao yanayo kubali sehemu hizo na kuwekeza kwenye fursa chache zinazopatikana huko. Dodoma kilimo cha zabibu kiliwekewa mkazo na viwanda vya wine kujengwa, leo hii Dodoma ndiyo sehemu inayo ongoza kwa kuzalisha wine Tz na ndani ya E.A Tz inaongoza kwa kuzalisha wine. Dodoma pamoja na sababu zingine ilifanywa pia kuwa capital city. Magufuli amekuja kukazia, Leo hii ukifika Dodoma utashanga ujenzi unao endelea. So ardhi ambayo aina rutuba inajengwa majengo. Kama vile mnge amua capital yenu iwe Turkana, Nairobi watu wange lima. In my unbiased opinion at this rate Dodoma is going to be the most beautiful city in Tz in the next 10 yrs. Its central location is a plus. Bila kusahau sekta ya ufugaji Tz ni nchi ya pili kwa kuwa na ng'ombe wengi Africa na Dodoma ni wafugaji wakubwa hapa Tz wa mifugo mingi wakiwamo ng'ombe.

Singida a.k.a Singapore, ukifika utafuta kauli yako, kwanza hamna njaa, watu wanalima mazao rafiki na hali ya hewa. Mfano zao la kibiashara alizeti, hili ndiyo eneo linalo ongoza kwa kulima alizeti Tz. Viwanda vya mafuta ya alizeti vimetapakaa na mafuta yao yanauzwa nchi nzima pia wana export. Nimeeleza kwa uchache ila hamna namna unaweza uka compare semi arid areas za Tz na Kenya. Your politicians have failed you, msipende kuwatetea kila sehemu vitu vingine vipo uchi. Wangejenga ata vyuo vikuu huko Marsabit kuchangamsha uchumi. Nakuwekea picha, halafu waza huko Turkana pia mnaweza fanya hivi.
images-13.jpeg
IMG_0300.jpeg
images-12.jpeg
7275294472_6e3310bcd6_b.jpeg
images-16.jpeg
images-11.jpeg
images-22.jpeg
images-18.jpeg
images-10.jpeg
tanzania-to-evaluate-namfua-dodoma-stadiums-for-coming-afcon-tournament-says-deputy-minister_...jpeg
27e3c453aad1fc650ab3cb0f1310ad07.jpeg
e042bc3cbee274efe4cf8b07ebfa0a42.jpeg
images-9.jpeg
 
Unafaa uelewe huu mjadala ulitoka wapi ndo ukafika hapa, nilipo post hii picha ya moja ya stesheni zenu

tapatalk_1567921010958-jpeg.1202550

Jamaa walidai kwamba Tz wana stesheni ndogo ndogo kila sehemu kwa kila kitongoji tofauti na Kenya ........ Hapo ndo nimeleta ushahidi kwamba hizo stesheni zenu ukijumlisha ni chache sana... sasa wewe unaanza kunielezea sababu za kwanini stesheni ni chache huko TZ, that was not the point, point ni kwamba wenzako walikua wanadhani wako na stesheni nyingi...........

Alafu sababu kuu ya Wakenya kuishi sehemu moja ni mazingira... Kama Tanzania ingekua na mazingira ya Kenya pia nyinyi mgekua mnaishi sehemu chache kama sisi..
Mbona maeneo ambayo yapo semi arid yapo na watu wanaishi vizuri. Tatizo mipango yenu haikuwa sawa toka enzi za mzee Kenyata
 
Kitu cha dompo ni noma wamuulize Uhuru atawaambia.
Kwanza nakuunga mkono kuhusu central part of Tz kuwa semi arid (Dodoma na Singida), ila mengine uliyo ongea umeongea kibepari zaidi nasiwezi kukulaumu. Tatizo la kaskazini mwa Kenya ilibidi litatuliwe toka awamu ya kwanza ila haikufanyika kwa sababu ya sera zenu.

Nyerere na serikali yake waligundua hili kutumia sera za kijamaa walitia nguvu na kusaidia kuboresha mazao yanayo kubali sehemu hizo na kuwekeza kwenye fursa chache zinazopatikana huko. Dodoma kilimo cha zabibu kiliwekewa mkazo na viwanda vya wine kujengwa, leo hii Dodoma ndiyo sehemu inayo ongoza kwa kuzalisha wine Tz na ndani ya E.A Tz inaongoza kwa kuzalisha wine. Dodoma pamoja na sababu zingine ilifanywa pia kuwa capital city. Magufuli amekuja kukazia, Leo hii ukifika Dodoma utashanga ujenzi unao endelea. So ardhi ambayo aina rutuba inajengwa majengo. Kama vile mnge amua capital yenu iwe Turkana, Nairobi watu wange lima. In my unbiased opinion at this rate Dodoma is going to be the most beautiful city in Tz in the next 10 yrs. Its central location is a plus. Bila kusahau sekta ya ufugaji Tz ni nchi ya pili kwa kuwa na ng'ombe wengi Africa na Dodoma ni wafugaji wakubwa hapa Tz wa mifugo mingi wakiwamo ng'ombe.

Singida a.k.a Singapore, ukifika utafuta kauli yako, kwanza hamna njaa, watu wanalima mazao rafiki na hali ya hewa. Mfano zao la kibiashara alizeti, hili ndiyo eneo linalo ongoza kwa kulima alizeti Tz. Viwanda vya mafuta ya alizeti vimetapakaa na mafuta yao yanauzwa nchi nzima pia wana export. Nimeeleza kwa uchache ila hamna namna unaweza uka compare semi arid areas za Tz na Kenya. Your politicians have failed you, msipende kuwatetea kila sehemu vitu vingine vipo uchi. Wangejenga ata vyuo vikuu huko Marsabit kuchangamsha uchumi. Nakuwekea picha, halafu waza huko Turkana pia mnaweza fanya hivi. View attachment 1202839View attachment 1202840View attachment 1202842View attachment 1202843View attachment 1202844View attachment 1202845View attachment 1202846View attachment 1202847View attachment 1202849View attachment 1202850View attachment 1202851View attachment 1202853View attachment 1202854
 
Im pretty sure if Dodoma/Singida was tucked away somewhere in South Eastern TZ...........Those would be forgotten places.

My point is that developing Dodoma is a very painful expensive necessity that GOT has to undertake simply due to its centrality and not viability as an investment decision. For instance the capital city status is being forced upon Dodoma when the natural option is Dar/Arushja/Mwanza ...... all for the sake of inter connectivity.

Kenya has been a capitalist nation from the word go!!!! It as always been about return on investment, equity and inclusivity took a back seat and resources were directed where they could yield more return. GOK has had the leisure of looking the other direction because the Manderas, Wajirs and Turkanas connect to Ethiopia, Sudan, Somalia. The Logic has been why invest in Turkana/Wajir when i can invest in Kiambu/Uasin Gishu?? This has worked in the short run but is not sustainable in the Long run..... That is where Lapset and county governments come in.
 
Wewe lazima uwe na akili mbili kama kukuunaropokwa hadithi mingi ,alafu ukiletewa evidence mko na stesheni sita unaaza matusi badala ya kum engage.....IQ ni yako ni ya panzi wewe
tatizo hamjielewi.........kitu alichokileta si hoja ya msingi analeta competition kiidadi wakati si kitu kilichoulizwa

mtu unajiundia hoja halafu unategemea ujibiwe ipasavyo mimi huwa namjibu mtu kulingana na upuuzi wake ....ukileta upuuzi nitakujibu kipuuzi tena kwa kutokukujibu kitu chochote....

swali la msingi ni hivi muulize huyo charlie champlin mwenzako ni nani aliyesema hoja ya kuwa tuna stations nyingi...kwa sasa...?

hoja ilizungumzwa kimantiki kuwa kitu ambacho tumekifanya sisi kwa upande wa stations ndogo ndogo kenya kwa upande wenu hamjafanya kama sisi hicho ndicho kilichozungumzwa
 
Im pretty sure if Dodoma/Singida was tucked away somewhere in South Eastern TZ...........Those would be forgotten places.

My point is that developing Dodoma is a very painful expensive necessity that GOT has to undertake simply due to its centrality and not viability as an investment decision. For instance the capital city status is being forced upon Dodoma when the natural option is Dar/Arushja/Mwanza ...... all for the sake of inter connectivity.

GOK has had the leisure of looking the other direction because the Manderas, Wajirs and Turkanas connect to Ethiopia, Sudan, Somalia. The Logic has been why invest in Turkana/Wajir when i can invest in Kiambu/Uasin Gishu?? This has worked in the short run but is not sustainable in the Long run..... That is where Lapset and county governments come in.
Since resources are scarced every thing we do there has to be an opportunity cost this is to the USA, Kenya, Chad e.t.c. You have put it well by saying the policy of under investing in western Kenya has long term consequences why then do you insist that GoT is misallocating resources by investing in central Tz! As you know the re allocating of the capital has been a long term process almost 30 years now. So we are in the final stage and its not hurting since its been done by local funds and other projects are ongoing at a bigger scale and faster rate than before. Why do you say those three cities are the rightful owner of the status of capital city! Go do a research why Dar was chosen to be the capital and why the Dar state house was built where it is now, inshort it served them well (colonizers). We are a free country now, we make informed decisions that will serve us well now and the our generations to come.
 
Umeshindwa kuelewa braza, vituo vikubwa vipo katika kila mji wa mikoa ambapo reli inapita, ila katika vijiji ambavyo vipo mbali na mjin kunaekwa vituo vidgo vidgo kama hvyo ili kuepusha gharama za wanavijiji kupelekwa hadi mjini alafu wapande usafir mwingne kurudi, kwahyo katika miji kutakua na vitua vikubwa kama dar es salaam lakn kutakua na vituo vidog kwa wale wa vijiji ambavyo ni kama hvyo ili kuondoa ulazima wa wao kwenda hadi mjini kwenye vituo vikubwa, kitu ambacho kwenye hii comment ako inaonyesha kenya haijafanya hvyo
Mwambie atembelee BRT ataelewa nini maana ya terminal na min stations
 
My two cents.........

Central Tanzania is almost just as remote/arid as Northern Kenya. This is an impediment to development in your country since this is a major stambling block to inter connectivity of Cities/townships. The only reason why Kenya has a bigger economy than TZ is because the arid/remote areas are restricted to the Northern part of the country.

Previous Governments have simply chosen to ignore the Northern parts of the country in as far as development is concerned due to the very minimal potential and expected returns from investment. The Focus has solely been on the Southern part of the Country, not a very good strategy but it has worked so far. The Kibaki regime sought to change this through the lapset project that mainly seeks to create a transit economy in Northern Kenya by connecting S.Sudan and Ethiopia to Lamu as well as leverage on the Lokichar oil reserves.

TZ on the other hand has been forced to develop very remote areas in the Central part of the country (case in point, Dodoma) with minimal to zero returns for the sake of inclusion and inter-connectivity to farflang cities and townships like Mwanza that have more potential.

Central tanzania is not as arid as northern Kenya. Picha za dodoma hauwezi sema ni sawa na Wajir au Mandera.
You dont have an official desert in Tanzania like chalbi desert do you?
Any way very few people live in northen Kenya so why would a govt that doesn't have alot of money at the time, build a road very few people will use and leave the majority stuck on bad roads. If the majority get good roads and produce more, wont it enable the govt have some money to go invest in the north. As is the case now.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom