Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,012
- 11,698
jibu maswali uache kuropoka ropoka hovyo.....Tatizo la watanzania hua hadithi nyingi lakini watu wakianza kuongea techical utapotea hapa..... sasa vile umeanzisha, hebu lete hizo takwimu za stesheni zote zenu (both major and mini) na ulete pia average interval ya hizo stesheni kutoka Dar hadi makutopora..... Leta hizo takwimu zote nikuonyeshe vile hakuna kitu unaeza kuniambia ambacho sijui tayari....
technical gani hiyo unayoweza kutuambia hauna jipya mkuu......usiwe unapoteza mda kwa kuropoka ropoka kama mdada.....
ivi unajua kipimo cha mchanga na cement inayotumia ipo kwenye grade gani....?...je cement inayotumika ina density gani ambayo ipo covered kupitia udongo uliopo kwenye ardhi ya tanzania....?..unajua kiwango cha station quality kinachotumika tanzania mpaka project ikisha kamilika...?....je umewahi fanya tafiti kwa kutembelea na kufanya vipimo vya kila section...?...
usijifanye mjuaji mzee wa technical unayumbs hizo ni akili za pombe..ukijibu nilivyokuuliza tutaenda sawa...ila ukiendelea kuropoka unaonekana mama lishe