Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,045
- 79,024
- Thread starter
- #3,781
TAZARA haina train kama hizo sasa! Most of engines r American made!Train yenu ya kitambo madirisha yanafunguka, Train tuliyo nayo madirisha hayafunguki na ndani kuna Air condition... Treni yenu ya kitambo inaenda ikitetemeka na kuyumba yumba, train yetu iko smooth ukiwa ndani unajiskia ni kama uko ndani ya ndege... etc... Train tuliyonayo ni model ya juzi juzi, train mlio nayo ni model ya 1965! Usione eti ile bodi inafana na yenu ukafikiria eti ziko sawa.
Kwa mfano hichi kichwa cha treni mlichokuamnatumia enzi zile za Tazara ikianza, Mtu anaeza akasema imefanana na kicha cha treni zetu za kubeba mizigo, Lakini hii model ya DFH-09B ni model ya 1964! na waliacha kuzitengeneza enzi za 70's
China Railways DFH mainline locomotives - Wikipedia
en.wikipedia.org
Model tunayoitumia sisi Kenya ni DF8B ambayo production ilianza 1997 na hadi wa leo bado ziko in production, Inatumia Electric Transmission wakati hio ya Tazara ilikua inatumia Hydraulic transmission...
The second generation DF8, the DF8B, is powered by an updated 16V280ZJA engine with 3,680 kW (4,930 hp). Production started in 1997 and lasts until today. Qishuyan, Dalian and Ziyang manufacture 0, 3000, 5000, 7000 and 9000 series of DF8B respectively.China Railways DF8 - Wikipedia
en.wikipedia.org
Na ile ya Abiria nayo ni DF11G ambayo ni model ya 2004
China Railways DF11G - Wikipedia
en.wikipedia.org
Kwahivyo usione eti vitu vina fanana kwa kwa mbali ukadhani eti viko sawa, Hata Boeign ya Kitambo na ya Sasa utakuta zafanan kwa mbali kwasababu ni kampuni ile ile inajaribu kuboresha design ile ile, Lakini haimanishi eti ya zamani na ya kitambo ziko sawa.