Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

We hiyo diesel tu, yetu itakuwa adjustable hadi 300 na zaid , hasa ile ya cross country yaan Tz, Rwanda to Congo or Burundi ila nyie doooh Nai to Kampala siku 2
 
Weka evidence ikiwa na mzigo!
Wewe Hebu weka evidence yenu ikisonga kwa 1km/hr bila mzigo😂😂😂...oh! Nilisahau hamna SGR operational.
Punguza ujinga baba nanii, Mzigo haizuii gari/treni/Ndege/motorcycle kufika maximum speed. Kwani Hapo Tz Kuna dawa ya ujinga mnapewa kila asubuhi?
 
Kishamba shamba yani hovyo hovyo Bora ikamilike.
Unaona ushamba kwa kuwa hawatumii limashine kubwa kuilaza reli? Ni wa china tuu ndio wanaojenga hivyo, nchi zingine zote wanafanya kama wanavyofanya Yapi Merkezi.

Sababu ya wachina kuja na tekinologia hiyo ni kwasababu walihitaji mfumo rahisi (turnke) wa kutengeneza reli haraka ili kuhakikisha Uchina ina mtandao mkubwa wa reli.

Hiyo yote ili kuhakikisha wanakuwa huru, hawataki sana kutegemea usafiri wa ndege (ndani ya nchi yao) ambao kwa kiasi kikubwa unamilikiwa na wamagharibi (Boeing na Airbus).

Hata hivyo unaweza fikiri automation ndiyo kila kitu lakini pia usisahau kuwa magari ya Royce Rolls yanaundwa kwa mikono.
 
This SGR Kenya terminus is better than any Airport in Tanzania.
IMG_20190813_114711.jpg
IMG_20190813_225356.jpg

We are not even talking about this,
IMG_20190813_225405.jpg

Or
IMG_20190813_213429.jpg

Phase 2A only
 
Unaona ushamba kwa kuwa hawatumii limashine kubwa kuilaza reli? Ni wa china tuu ndio wanaojenga hivyo, nchi zingine zote wanafanya kama wanavyofanya Yapi Merkezi.

Sababu ya wachina kuja na tekinologia hiyo ni kwasababu walihitaji mfumo rahisi (turnke) wa kutengeneza reli haraka ili kuhakikisha Uchina ina mtandao mkubwa wa reli.

Hiyo yote ili kuhakikisha wanakuwa huru, hawataki sana kutegemea usafiri wa ndege (ndani ya nchi yao) ambao kwa kiasi kikubwa unamilikiwa na wamagharibi (Boeing na Airbus).

Hata hivyo unaweza fikiri automation ndiyo kila kitu lakini pia usisahau kuwa magari ya Royce Rolls yanaundwa kwa mikono.
Hii burret train inaenda kwa mwendokasi mgani...weka na ushahidi ikikimbia toka Dar slaamu Hadi Morogoro.
 
Unaona ushamba kwa kuwa hawatumii limashine kubwa kuilaza reli? Ni wa china tuu ndio wanaojenga hivyo, nchi zingine zote wanafanya kama wanavyofanya Yapi Merkezi.

Sababu ya wachina kuja na tekinologia hiyo ni kwasababu walihitaji mfumo rahisi (turnke) wa kutengeneza reli haraka ili kuhakikisha Uchina ina mtandao mkubwa wa reli.

Hiyo yote ili kuhakikisha wanakuwa huru, hawataki sana kutegemea usafiri wa ndege (ndani ya nchi yao) ambao kwa kiasi kikubwa unamilikiwa na wamagharibi (Boeing na Airbus).

Hata hivyo unaweza fikiri automation ndiyo kila kitu lakini pia usisahau kuwa magari ya Royce Rolls yanaundwa kwa mikono.
Yap merkezi pia wako Ethiopia,
Ingia skyscraper city ujionezile vitu wanafanya huko,
Utashangaaaa iyo kitu yenu
 
Train yenu ni ya kawaida sana mzee..sioni utofauti wake na train ya tazara au deluxe ya rail ya kati from dar to kigoma
Train yenu ya kitambo madirisha yanafunguka, Train tuliyo nayo madirisha hayafunguki na ndani kuna Air condition... Treni yenu ya kitambo inaenda ikitetemeka na kuyumba yumba, train yetu iko smooth ukiwa ndani unajiskia ni kama uko ndani ya ndege... etc... Train tuliyonayo ni model ya juzi juzi, train mlio nayo ni model ya 1965! Usione eti ile bodi inafana na yenu ukafikiria eti ziko sawa.

Kwa mfano hichi kichwa cha treni mlichokuamnatumia enzi zile za Tazara ikianza, Mtu anaeza akasema imefanana na kicha cha treni zetu za kubeba mizigo, Lakini hii model ya DFH-09B ni model ya 1964! na waliacha kuzitengeneza enzi za 70's

iu

Model tunayoitumia sisi Kenya ni DF8B ambayo production ilianza 1997 na hadi wa leo bado ziko in production, Inatumia Electric Transmission wakati hio ya Tazara ilikua inatumia Hydraulic transmission...

The second generation DF8, the DF8B, is powered by an updated 16V280ZJA engine with 3,680 kW (4,930 hp). Production started in 1997 and lasts until today. Qishuyan, Dalian and Ziyang manufacture 0, 3000, 5000, 7000 and 9000 series of DF8B respectively.
tn_ke-sgr-locos-crrc-qishuyan-lineup.jpg

Na ile ya Abiria nayo ni DF11G ambayo ni model ya 2004

tn_ke-sgr-locos-crrc-qishuyan-selfie.jpg

Kwahivyo usione eti vitu vina fanana kwa kwa mbali ukadhani eti viko sawa, Hata Boeign ya Kitambo na ya Sasa utakuta zafanan kwa mbali kwasababu ni kampuni ile ile inajaribu kuboresha design ile ile, Lakini haimanishi eti ya zamani na ya kitambo ziko sawa.
 
Hahaaaa haaaa hasa
Ila serikali ya Tanzania ikileta train kama hiyo yenu itakuwa jambo la kushangaza sana..
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom