Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mbona empty seats ni nyingi!! Huwaga wanaletaga uzi humu utasikia "SGR train full booked kwa miezi minne ijayo" kumbe ni kelele tu.
Wacha wivu, naona empty seat mbili tu hapo....... Ukiona empty seat mara nyingi hua ni watu waliochelewa kufika wakaachwa na gari, alafu pia haijasemekana hii picha ilichukuliwa kwa treni gani, kuna express train na inter county train, Inter county train hua inaenda ikisimama kila stesheni ya abiria kubeba au kushukisha abiria kila stesheni kwahivyo hautawai kuiona imejaa full kila wakati!
 
Wazoee walisemaga wanaanzisha direct flight to US siku moja imeenda na abiria6 hawakurudia tena
Mbona empty seats ni nyingi!! Huwaga wanaletaga uzi humu utasikia "SGR train full booked kwa miezi minne ijayo" kumbe ni kelele tu.
 
Hey Tanzanians, don't you have your rail? Why using our rail pictures when talking about your SGR?

 
D6mPaLzX4AIrFE3.jpg:large
 
Back
Top Bottom