Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Picha la kutisha
IMG_20190426_184933.jpg
 
Where are you quoting from? Last i heard, TZ can handle max 35 tonnes per axle

Eti class 1 kutoka Chinese. Bure kabisa! Even Chinese know it, halafu wewe hapa unakuja na upotoshaji

"The new railway line will have a capacity of transporting 17 million tonnes of cargo each year, with a 35 tonne axle load capacity. It will be used by electric trains moving at a speed of 160 kilometers per hour," added the statement.

Jibu zuri...
 
Mkuu,
Miundombinu ya Umeme wakandarasi walishaanza kazi huu ni mwezi wa tatu (3) sasa, kumbuka miundombinu ya umeme inajengwa na makandarasi aitwae ABB na sio Yapi Merkezi. Sasa vivi wako maporini wanajenga substations na transmission lines kutoka kwenye national grid kuzileta kwenye reli.
Anhaa, so itakuaje umeme ukikata? Kama chombo kiko kwenye motion
 
Design yake itakua na redundancy circuit in mind kiasi kwamba kutoka Dar hadi Moro kutakua na substation kama nne au zaidi na zitakua zinatap ktk different sources za national grid. Kumbuka ni vigumu sana Umeme kukosekana ktk lines zote (ya kutoka Mtera, Kidatu, Kinyerezi etc) kwa wakati mmoja. Pia nadhani ktk substations wataweka pia emergency generators as well just incase.

Btw, Umeme wenyewe unaohitajika kuendeshea trani wala sio mwingi ni approx. 25 KVA

Ahaa nimeipata:

Power for locomotives and rail facilities
The railway will be electrified. Locomotives will be powered by 25 kV MV. For this purpose 7 Traction Power Substations (TPS) and 28 Auto Transformer Substations (ATS), whose locations are not determined yet, shall be installed along the line. The necessary 220 kV High Voltage Transmission lines supplying power to these substations will be provided by TANESCO.

  • Alternative of selection of other feasible route. The EIA assessors analyzed five potential routes, as following:
    1) Tapping from nearest point of existing 132 kV TL to each of the SGR substations
    2) Tapping from nearest point of existing 220 kV Ubungo- Morogoro TL to each of the SGR substations
    3) Tapping from nearest point of existing 220 kV Kinyerezi-Morogoro TL to each of the SGR substations

    4) Dedicated 132 kV Kinyerezi – SGR- Msamvu transmission line 5) Dedicated 220 kV Kinyerezi – SGR- Msamvu transmission line
Source:
 
Nashukuru kwa jibu swadakta kabisa,it can be done

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
No. According to report, the only tap from kinyerezi.
 
There is Mtera n in 3 years time Stieglers Gorge! If u know Tanzania, the location of SGR is in the proximity of numerous power sources along Morogoro Iringa axis!

BTW can u tell us whether electrification of ur SGR is still on the cards following recent developments?

15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom