Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

For the lazy baboons from the South, do you see the real definition of SGR station?
IMG_20190416_105416.jpeg
IMG_20190416_105411.jpeg
IMG_20190416_105407.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kenya ni kenya na Tz ni Tz,,,,,

ndiyo maana hata town nyie huwa mnaita Taoo lakini sisi hatuiti taoo,usiforce tufanane

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijatumia huo mfano ili kufananisha, nimetumia huo mfano ili ujue timeline ya ku order vichwa vya treni itachukua between 1.5-2 years , kwahivyo kama mna order mwezi ujao basi the soonest zitawasili mbele ya June 2020.....
Kuna jamaa hapa walituletea taarifa kwamba SGR ya TZ itaanza kufanya kazi October 2019.... Ndio maana nikasema nilikua nafikiria mlisha order vichwa na mabehewa mwaka uliopita na kilichobaki ilikua mnangoja ziwasili.....
Hii inamaanisha ujenzi wa reli unaweza kukamilika lakini treni na mabehewa yakawa badoo hayajafika na reli ikakaa idle kwa kama miezi sita ikingojea mitambo ya reli iwasili.
 
nakuelewa vyema kikubwa nikungoja nakuona kitakachotokea kabla ya huu mwaka kuisha nadhani hapo itajulikana mbivu na mbichi au vipi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hizo train zenu mlichagua au mlichaguliwa kama ilivyokua kwa contractor..

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulitembelea viwanda vingi sana tukaonyeshwa kila aina ya vichwa kabla ya kuamua hivyo vichwa ndo tosha
ULAoheD.jpg

Na vilipokua vinaundwa tukatuma engineers 8 wakafundishwe practicle ili waelewe kila sehemu ya hizo mashini.

Hapa ni delegation ya KR ilipotembelea hao ma engineer ndani ya kiwanda
2-jpg.510577

3-jpg.510578
 
Nilijua utaniletea hii story.. ninacho maanisha mlitangaza tender?! Ata kupata huyo mkandarasi wa ujenzi watu wenu walienda China pia ila haiondoi zana kwamba kila kitu kilikua kimechorwa tayari.

Hahaa eti viwanda vingi sana.. hapo kwenye picha naona gari moshi limeshakua branded kwa rangi zenu au hivyo viwanda vingi vilipewa sharti lazima wafanye branding ya rangi za KRC ili waweze kutembelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulitembelea viwanda vingi sana tukaonyeshwa kila aina ya vichwa kabla ya kuamua hivyo vichwa ndo tosha
ULAoheD.jpg

Na vilipokua vinaundwa tukatuma engineers 8 wakafundishwe practicle ili waelewe kila sehemu ya hizo mashini.

Hapa ni delegation ya KR ilipotembelea hao ma engineer ndani ya kiwanda
2-jpg.510577

3-jpg.510578
hao madelegate walienda kula supu na prweza wa kichina thats why mmeletewa vituko.
 
Nilijua utaniletea hii story.. ninacho maanisha mlitangaza tender?! Ata kupata huyo mkandarasi wa ujenzi watu wenu walienda China pia ila haiondoi zana kwamba kila kitu kilikua kimechorwa tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio mbinu inaitwa closed tendering method ambayo inakubalika ki biashara. Hivi nyinyi mlifanya open tendering ya nani atajenga na kumiliki Bagamoyo port for 99 years??
 
dd
Tazara bridge n tunnels r first in EA!

Tazara.jpg

And in all underground gold mines in Tanzania, that technology is being widely used! Stop being a lazy n laggard country!
Hio si Hanging basket bridge! Na new Australian tunneling method iikua haijakua adopted na China enzi hizo
1073237
 
Kwani Bagamoyo port ni mkopo ambao pesa za walipa kodi zitatumika kulipa?

Sent using Jamii Forums mobile app
PPP nayo ni aina ya Mkopo..... infact watumizi wa Bagamoyo port AKA Watanzania AKA walipa kodi watagaramika hela nyingi zaidi kuliko kama Serekali ingechukua mkopo.... Manake kupitia PPP watagenga hilo bandari bila GoT kugarimika chochote lakini faida yote itaenda kwao hadi waregeshe hizo hela tena waongeze na kama 15%.......

Kwa mfano ile expressway ya Nrb-Msa itakayojengwa na muamerika, inasemekana tutalipia karibu dollar billioni moja na nusu zaidi kama tutakubali ijengwe na full PPP ukilinganisha na kama ingejengwa na mkopo........
Yani kwa mfano kama barabara ingejengwa kwa mkopo, tungelipa $3Billion plus intrest ya kama $500m, lakini ikijengwa na PPP hao waamerika wataimiliki hio barabara na wataokota toll fee kwa miaka hio yote hadi ifike $5B.... Na mwisho wa siku watakua walitengeneza faida zaidi kutoka kwetu kuliko kama wangekua walitupatia mkopo.......
 
Hapo unaongelea opportunity cost, kwa case ya Bagamoyo that cost is almost zero. Hao wawekezaji wameona fursa sisi tunawapa uwanja wapambane, malengo yao ni zaidi ya port watajenga mpaka industrial park na kuleta wawekezaji kwa kutumia contacts zao. Hiko unacho kisema wewe kwa case ya Bagamoyo hakina mashiko kwa sababu ata wachina wasinge kuja na huo mradi, huo mpango wakujenga port Bagamoyo haupo ata kwa miaka 50 ijayo so kuwa achia wafanye yao huku tukipata kodi na kutengeneza ajira ni big win kwetu, ice on the cake ownership ita transfer to GoT. Nyinyi hiyo road for your own reasons mnahisi mnaihitaji sasa hivi kwa hiyo kupiga mahesabu hayo ni sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom