Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

hata nikikuonyesha hayawezi kufanana wait km za mradi zisogee kwa kukamilika nitakushow vile best n quality desgn inavyokuwa
kwa sasa kuwa mpole endeleeni kujenga magofu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni zile zinazofanana na vyoo vya umma unazungumzia? Pugu station and the other one? Public toilets in Nairobi are even beautiful.Acha nifungue Uzi .NAIROBI PUBLIC TOILETS VS TZ SGR STATIONS
 
ile ni normal station ,haipaswi kuwa station kubwa kwani kutoka katikati ya jiji ambako station kubwa inajengwa si mbali sana na pugu ni km kadhaa tu hivyo hata mngekuwa nyie msinge jenga station kubwa.....zitakazowatia adabu zipo njiani halafu punguza kula mirungi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reli yenyewe imefika Kibaha lakini mbwembwe utafikiri ishafika Mwanza. Alafu nasikia ujenzi ulikwama desemba mwaka jana na hizo tunakaririwa hapa ni spin tu.
 
He has said contract for emu and cargo train will be signed early next month.

Any idea who's the suppliers?
I thought the contract for supply of 14 electric trains and 2 diesel-electric trains had already been awarded last year and you were awaiting delivery.
Sasa kama wanasema contract itatiwa sign next month , I doubt kama kiwanda cha kutengeneza reli kinaweza kutengeneza treni 16 na mabehewa karibia 1,400 Chini ya miezi 7 kabla mwaka uishe... Zile za Kenya mpaka Leo bado hawajamaliza order ya mabehewa miaka mitatu baadae, vichwa vya treni ndo walileta vyote tuli order hivyo vichwa mwaka mmoja na nusu au miwili kabla tumalize ujenzi ndo vichwa vya Kwanza vikaanza kuwasili na iliwachukua kama miezi sita kabla wavilete vichwa vyote.
 
Hivi hizo train zenu mlichagua au mlichaguliwa kama ilivyokua kwa contractor..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I thought the contract for supply of 14 electric trains and 2 diesel-electric trains had already been awarded last year and you were awaiting delivery.
Sasa kama wanasema contract itatiwa sign next month , I doubt kama kiwanda cha kutengeneza reli kinaweza kutengeneza treni 16 na mabehewa karibia 1,400 Chini ya miezi 7 kabla mwaka uishe... Zile za Kenya mpaka Leo bado hawajamaliza order ya mabehewa miaka mitatu baadae, vichwa vya treni ndo walileta vyote tuli order hivyo vichwa mwaka mmoja na nusu au miwili kabla tumalize ujenzi ndo vichwa vya Kwanza vikaanza kuwasili na iliwachukua kama miezi sita kabla wavilete vichwa vyote.
Sio wote watachelewesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reli yenyewe imefika Kibaha lakini mbwembwe utafikiri ishafika Mwanza. Alafu nasikia ujenzi ulikwama desemba mwaka jana na hizo tunakaririwa hapa ni spin tu.
Unasikia? wengine tumekwenda kushuhudia maendeleo ya ujenzi huo na tulivyoona na kwamba unaendelea vizuri.
 
I thought the contract for supply of 14 electric trains and 2 diesel-electric trains had already been awarded last year and you were awaiting delivery.
Sasa kama wanasema contract itatiwa sign next month , I doubt kama kiwanda cha kutengeneza reli kinaweza kutengeneza treni 16 na mabehewa karibia 1,400 Chini ya miezi 7 kabla mwaka uishe... Zile za Kenya mpaka Leo bado hawajamaliza order ya mabehewa miaka mitatu baadae, vichwa vya treni ndo walileta vyote tuli order hivyo vichwa mwaka mmoja na nusu au miwili kabla tumalize ujenzi ndo vichwa vya Kwanza vikaanza kuwasili na iliwachukua kama miezi sita kabla wavilete vichwa vyote.
kenya ni kenya na Tz ni Tz,,,,,

ndiyo maana hata town nyie huwa mnaita Taoo lakini sisi hatuiti taoo,usiforce tufanane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abunuasi weka picha basi zile ulizopiga kwa simu yako smart phone la sivyo niko sahihi hamna kitu pale bongolala land. Hapa tunafanya kweli kwa ushahidi wa picha sio umbea wa ccm.
 
Back
Top Bottom