diamond d
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 812
- 2,048
Endelea kuotayani kila kitu huaga wanakopi kisha wanakuja kw mwenye amefanya wa kwanza na kuanza ku compare...
lapset corridor vs bagamoyo port
kibaka vs thika highway
sgr ke vs sgr tz
turkana wind power nao wanaenda na stiglers hewa
Atcl vs KQ
sasa katika hyo list...za kwao zote ni hewa...yani mpka nashangaa na hawa wasee...
ngoja kidogo kidogo utaskia ndugu yake dongo kundu...
Sent using Jamii Forums mobile app