thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
Wewe hujui miiko ya ukopeshaji! kama ingekua hivyo banks zingekua zinakopesha nchi tu. Taratibu za ki benki hazipo hivyo kama unavyo hisi. Lazima mradi upelekwe na andiko lake ukiainisha jinsi utakavyo leta faida. Hii ni kwa nchi au private entity, Banks kama WB wao wataishia kuangalia impact kwenye jamii ila commercial banks zita angalia numbers kama zitakua positive. Wewe kaa ukijua CAMPARI kwa ujumla wake ilifuatiliwa kabla ya Tz SGR haijapewa loan. Nenda kampe ushauri wako Uhuru maana ana haha kupata loan au exim China hawana mbinu zako za kuchukua ndege na kuiminya KRA!!Benki ya commecial inajua its dealing with a government, loss au profit a government has an international obligation to pay its loans first out of revenue collection and if not to refinance it with another loan, go read about what happened to Greece, sasa wamepewa loan zingine kulipa zile walishindwa. Unajaribu kulinganisha vile benki hupeana mkopo kwa wananchi na vile hupeana kwa serikali, lakini kuna tofauti kubwa. Mwananchi anaeza defaut na hakuna mahali utampeleka baada ya kuuza vitu vyake. Serikali, benki inachukua TRA collection by force, au wanashikilia ndege zenu zikiwa nchi zingine , au sanctions...
Benki haezi kataa kupea Tanzania loan, lazima mlipe even if the railway isn't moving.
Sent using Jamii Forums mobile app