Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Sasa basi treni (pamoja na double stacking) zikianza kua operational kwenye hizi tunnels.. Mtazoa haya matapiko yenu?
 
Waliouliza kama double stacking ni posbo kwenye tunnels zetu.. I've got news for you View attachment 988679
Ni posbo
tapatalk_1546871414173.jpeg
 
Kingereza hukijuwi vizuri halafu unataka kulazimisha tu.

Kitu nilichogundua kwenye hizi nyuzi za Wakenya na Watanzania ni kuwa Wakenya wengi wako vizuri katika lugha zote mbili kwa kuandika, Kingereza na Kiswahili, kuliko Watanzania wengi.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Tatizo la Kenya kwenye hii miradi mikubwa ni wapigaji sana.

Tanzania pia tatizo hilo tunalo lakini katika hii miaka mitatu Magufuli anajitahidi sana kuwabana. Mungu asaidie afanikiwe, maana dah.

Watanzania wezi si mchezo, wameiba mashirika yote ya umma.

Halafu wengi walioiba mipesa mingimingi ni wajinga, wanaiba halafu wanaipeleka kuificha Ulaya. Au wanaiba halafu wanawapa wahindi na waarabu wafanya biashara wawazalishie.

Wengi wao wanaiba halafu wanalewea tu. Michango mikubwa kwenye harusi na vifo.

Kuna siku nilihudhuria maziko ya ndugu wa rafiki yangu mmoja yalifanyika Sinza. Basi hiyo catering service, vinywaji kila aina ya vya kilevi vilivyokuwepo siku zote za maziko (zaidi ya wiki) nilishangaa sana.

Nikamwambia yule rafiki yangu, inaonesha kwenu ni matajiri sana lakini wewe hujioneshi. Akanambia ahh wapi, mambo yote haya yanafanywa na mjomba anafanya kazi bandarini. Nikashangaa sana, vipi mfanyakazi wa badarini anamudu pesa zote zile? Estimation yangu ya ghafla ilikuwa si chini ya
million 20 kwa siku zilizotumika kwenye mazishi tu.

Hapa umenena Bi. Mkubwa.
 
Mbona kama Shimo la panya? Btw These tunnels exist in Tz since 1970’s.. you are seeing it for the first time right?

Hizo za narrow gauge pia sisi tunazo ila hili la SGR ni la kwanza Africa Mashariki. Tunnel ya Limuru iliyojengwa miaka ya 1900s hii hapa.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom