Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwa wale ambao hawajui, Phase 2 ya Ethiopia SGR masterplan imefika mbali, sehemu hio ya reli inajengwa na Yepi Merkezi kwahivyo watz mnaeza mkaangalia finished product, mkingojea yenu iishe...

1200px-Awash-Weldiya_Railway.svg.png

1544216453118.png

LF0iDoT.jpg

fMSAEZw.jpg

mPdeo2T.jpg

DQ2vLz2W4AENJ5S.jpg

533

uUP28sI.jpg

zkctRWY.jpg

XpN4nLr.jpg

Systra Team in Ethiopia - AKH Railway Project - An important milestone has been achieved with the laying of the last track panel, completing the track connection between Awash and Kombolcha - the 270km of the project's first phase. Congratulations to Systra MD team and to the Contractor Yapi Merkezi!

ALOX1GJ.jpg
 
View attachment 959017

Ukisoma details za hii reli ya Ethiopia ni kama mchina aliyowajengea tofauti ya Ethiopia ni ya umeme. Axle load mpaka speed mnaenda sambamba. Reli ya Tz Yerpi wamesema wanajenga rail bora zaidi Africa, ata kwa kuangalia unaona utofauti. Unaeza leta finished work zingine za Yerpi ambazo specs zake ni kama ya Tz. Najua hutoweza kwa sababu it makes your SGR to look like a dwarf.
 
Ha! Angalia map tena, huko Ethiopia mchina amejenga reli ya Djibouti -addis , reli ya awash ni sehemu nyengine kabisa! Na kandarasi ilipewa Yepi ambayo picha zake ndo hizo hapo... Axle load ni kitu ambacho hauezi kutofautisha Kwa kuangalia Kwa macho manake hio inahusiana na density ya chuma.... hata design speed pia hauwezi tofauti Kwa kuangalia Kwa macho.... Si Yepi alie Sema anajenga best rail in Africa, watanzania ndo walisema hivyo!!!!

Alafu ukitafuta kazi za Yepi duniani, wanajulikana Kwa tram na light rail systems... Tz ndo mmempatia yepi uwezo wa kujenga heavy rail nje ya turkey kwahivyo nyinyi ndo mnatumika kama gunie pig ama launch pad... Ndii maana unaona Yepi wametia bidii kutoa update kila wiki usifikirie wanafurahisha watz pekee... Wanajitangaza Kwa potential customers wa nchi zengine
 
Ww vp.. mbona unayumba! Taharifa zote zipo kwani ww hizo picha ulitumiwa na mkandarasi. Wewe tafuta habari za speed na axle load mbona zote zipo online!! Ata taharifa ulizo post hujazi soma! Maana kwenye moja ya picha zako wameandika speed itakua kama yenu, halafu una niambia speed huezi ona kwa kuangalia picha! Miradi kama hii kabla haijaanza specs zote zinakua zinajulikana. Ilikua haina haja kuleta mradi wa sgr ya Ethiopia coz specs ni tofauti. Tz tunajuwa tutakacho kipata coz sisi ndiyo tume wapa kazi acha kuranda randa mitandaoni na kujifurahisha. Halafu utasemaje Tz peke yake ndiyo tumewapa kazi ya heavy rail, wewe jamaa haupo makini kabisa! Ebu wafuatilie vizuri Yepi, kwa kuanzia pitia vizuri hizo picha ulizotuma. Maana kwa mujibu wa details za hiyo project ya Ethiopia ni Heavy rail, Labda ungesema siyo heavy kama wanayo jenga Tz. Ila ata tungempa mchina aliewajengea nyie bado tungempa masharti ambayo hajawahi kutana nayo kabla kama kuto tumia nondo nyembamba kama alizo tumia Kenya, kuweka systems kwa kizungu siyo kichina, ku install mifumo ya kisasa ya umeme (european standard), workers more than 90% wawe wazawa. Material more than 65% itoke ndani na itakayo toka njee iwe the best siyo kupeana tender na wachina wenzao kama walivyo fanya Kenya, ku train wazawa e.t.c.

You just sit and take notes from us on the advantages of following the procurement regulations and skipping tenderpreneurship, Kenyans you missed this lesson.
 
From specifications alone one can see our SGR is completely different from Ethiopia's the speed for Ethiopian SGR is 120km/h PAX while Tanzanian SGR is over 160km/h. Second none of our bridges will be steel structures alone! Pretty sure ours will be superior to Ethiopia's!

Kwa wale ambao hawajui, Phase 2 ya Ethiopia SGR masterplan imefika mbali, sehemu hio ya reli inajengwa na Yepi Merkezi kwahivyo watz mnaeza mkaangalia finished product, mkingojea yenu iishe...

1200px-Awash-Weldiya_Railway.svg.png

View attachment 959017

LF0iDoT.jpg

fMSAEZw.jpg

mPdeo2T.jpg

DQ2vLz2W4AENJ5S.jpg

533

uUP28sI.jpg

zkctRWY.jpg

XpN4nLr.jpg

Systra Team in Ethiopia - AKH Railway Project - An important milestone has been achieved with the laying of the last track panel, completing the track connection between Awash and Kombolcha - the 270km of the project's first phase. Congratulations to Systra MD team and to the Contractor Yapi Merkezi!

ALOX1GJ.jpg
 
Kwa wale ambao hawajui, Phase 2 ya Ethiopia SGR masterplan imefika mbali, sehemu hio ya reli inajengwa na Yepi Merkezi kwahivyo watz mnaeza mkaangalia finished product, mkingojea yenu iishe...

1200px-Awash-Weldiya_Railway.svg.png

View attachment 959017

LF0iDoT.jpg

fMSAEZw.jpg

mPdeo2T.jpg

DQ2vLz2W4AENJ5S.jpg

533

uUP28sI.jpg

zkctRWY.jpg

XpN4nLr.jpg

Systra Team in Ethiopia - AKH Railway Project - An important milestone has been achieved with the laying of the last track panel, completing the track connection between Awash and Kombolcha - the 270km of the project's first phase. Congratulations to Systra MD team and to the Contractor Yapi Merkezi!

ALOX1GJ.jpg

SGR ya Kenya ni very SUPERIOR by far.
Usicheze na Chinese...Hawa waturkey ni bure sana
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom