Corruption perception index: SADC ranking poor Tanzania!!

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
15,388
12,971
1. Botswana 30/178
2. Mauritius 43/178
3. Seychelles 51/178
4. Namibia 58/178
5. Lesotho 64/178
6.South Africa 69/178
7. Malawi 88/178
8.Swaziland 88/178
9. Zambia 88/178
10. Tazanina 102/178
11. Mozambique 123/178
12. Angola 157/178
13. DRC 160/178
14. Zimababwe 163/178

Najua kuna watu watabeza na kuitetea serikali ya CCM ilikaa madarakani zaid ya miaka 50................. lakini the fact remain the same Rushwa ni imezidi TZ!!!!
 
Nadhani ungelieza juu ya hii index ili kujua uhalisia wa hoja. Bila maelezo si rahisi kupata mchango kutoka kwa wadau wa jf.
 
It it fair to rely argument on "perception"? I don't think .............................................
 
1. Botswana
30/178
2. Mauritius 43/178
3. Seychelles 51/178
4. Namibia 58/178
5. Lesotho 64/178
6.South Africa 69/178
7. Malawi 88/178
8.Swaziland 88/178
9. Zambia 88/178
10. Tazanina 102/178
11. Mozambique 123/178
12. Angola 157/178
13. DRC 160/178
14. Zimababwe 163/178

Najua kuna watu watabeza na kuitetea serikali ya CCM ilikaa madarakani
zaid ya miaka 50................. lakini the fact remain the same Rushwa
ni imezidi TZ!!!!

Acha unafiki wewe ukipewa rushwa utakataa, tatizo kubwa la watz ni unafiki zaidi ya rushwa, tusipokubali kujirekebisha sisi wenyewe rushwa itaendelea kuwa donda
 
Nadhani ungelieza juu ya hii index ili kujua uhalisia wa hoja. Bila maelezo si rahisi kupata mchango kutoka kwa wadau wa jf.

Ni vema kama Great Thinker tukafahamu mambo haya na hata kuyachimbua ili kutujengea uwezo wa kujadili humu jamvini. Corruption Perception Index ni ripoti ya Takwimu za Rushwa duniani ambayo hutolewa kila mwaka na Transparency International. Viwango hivyo vya SADC ni out of nchi zote za Dunia. Kwa maana hiyo Tanzania kwa kiwango cha Rushwa imeshika nafasi ya 102 kati ya nchi 178.
 
Sikubaliani na hiyo nafasi kwq Tanzania.
Tunapaswa kuwa angalau kwenye namba3 kama moja imeshindikana.
 
Rushwa Tanzania ni maisha ya kawaida. Kila mtu akifanya kazi ambayo ameajiriwa kufanya anataka rushwa. Na sisi kwa uungwana wetu tunaona aibu kumuacha mtu bila kumpa chochote hata kama mtu kakutafutia file. Nadhani ni utamaduni wa Mtanzania kutoa na kupokea rushwa. Ndo maana CCM walikuja na hoja ya takrima.
 
nashangaa kwa nini mleta mada amekimbila sadc na akaacha EAC. una lako jambo, umejua kwa EAC ni ya pili baada ya rwanda ila kwa kutaka kuikosoa serikali umekimbilia huko. ningekuelewa kama hata ungeweka zote basi. hivi ni yupi jirani wa ukweli kati kenya/ uganda na namibia/lesotho?
ukimuona mleta mada utadhani ana kichwa juu ya shingo kumbe ni kifuu cha nazi.
 
Kwa nini unataka kujilinganjsha na jirani zako wakati unajua ni mabomu kama wewe............ no wonder hatutaendelea. Unapotaka kufanya bechmarking sidhani kama utatafuta nchi ambayo unajua ipo chini yako!!
 
Acha unafiki wewe ukipewa rushwa utakataa, tatizo kubwa la watz ni unafiki zaidi ya rushwa, tusipokubali kujirekebisha sisi wenyewe rushwa itaendelea kuwa donda

Hapo kwenye blue panahusika,
Angalia hapa....

The Corruption Perceptions Index ranks countries and territories based on how corrupt their public sector is perceived to be. A country or territory's score indicates the perceived level of public sector corruption on a scale of 0 - 100, where 0 means that a country is perceived as highly corrupt and 100 means it is perceived as very clean. A country's rank indicates its position relative to the other countries and territories included in the index. This year's index includes 176 countries and territories.
Source: 2012 Corruption Perceptions Index -- Results

Rushwa inayozungumzwa hapa ni rushwa kwenye secta ya umma (public sector), yaani kwenye ofisa za serikali, mashirika ya umma, wizara, pilisi, mahakama, n.k.
Sasa wewe unamshambilia mleta mada ??? !!!
Ingefaa zaidi kama ungetumia juhudi zako kupigana vita dhidi ya na rushwa kwenye vyombo vya umma badala ya kumshambilia mleta mada.
Tanzania inanuka rushwa sana, imeoza kwa rushwa. Watanzania tupigane vita dhidi ya rushwa, na sio dhidi ya waleta mada hapa JF.
 
nashangaa kwa nini mleta mada amekimbila sadc na akaacha EAC. una lako jambo, umejua kwa EAC ni ya pili baada ya rwanda ila kwa kutaka kuikosoa serikali umekimbilia huko. ningekuelewa kama hata ungeweka zote basi. hivi ni yupi jirani wa ukweli kati kenya/ uganda na namibia/lesotho?
ukimuona mleta mada utadhani ana kichwa juu ya shingo kumbe ni kifuu cha nazi.

Mimim naona tujilinganishe na nchi zote duniani, maana wote tuko kwenye dunia hii hii.
Sasa kama wenzetu waliomo kwenye dunia hii hii wanaweza kupambana na rushwa, sisi vipi ????
Denmark, Norway na New Zealand ni namba 01, Tanzania namba 102 !!!
Aibu sana kwa uongozi wetu hapa Tanzania.
Viongozi wetu wanaonde huko, wanaenda Uswisi kuficha pesa ila hawajifunzi kuwa Uswisi haina rushwa. Uswisi ni namba 06.
 
1. Botswana 30/178
2. Mauritius 43/178
3. Seychelles 51/178
4. Namibia 58/178
5. Lesotho 64/178
6.South Africa 69/178
7. Malawi 88/178
8.Swaziland 88/178
9. Zambia 88/178
10. Tazanina 102/178
11. Mozambique 123/178
12. Angola 157/178
13. DRC 160/178
14. Zimababwe 163/178

Najua kuna watu watabeza na kuitetea serikali ya CCM ilikaa madarakani zaid ya miaka 50................. lakini the fact remain the same Rushwa ni imezidi TZ!!!!

Nape Nnauye yupo humu JF. Hebu ajitokeze atueleze serikali yao inasemaje kuhusu swala hili.
Tunashidwa ubura wa uongozi wa nchi na nchi changa kama Botswana na Rwanda !!!! Shame on leaders !!!!
 
Rushwa Tanzania ni maisha ya kawaida. Kila mtu akifanya kazi ambayo ameajiriwa kufanya anataka rushwa. Na sisi kwa uungwana wetu tunaona aibu kumuacha mtu bila kumpa chochote hata kama mtu kakutafutia file. Nadhani ni utamaduni wa Mtanzania kutoa na kupokea rushwa. Ndo maana CCM walikuja na hoja ya takrima.

Ni kweli kabisa. Utamaduni wa kiafrika tunapenda kutoa shukrani, nadhani rushwa inapaswa iwe redefined. Hata mimi nikiona mtu amechoka kwaajili yangu labda kwa huduma anayo nipa napenda kumpa maji ya kunywa. Hotelini waiter akinishughulikia vizuri nampa chochote yaani kusema asante au kutoa a token of appreciation. Kwa roho safi.
 
Back
Top Bottom