Corridor wiring

cyber ghost

JF-Expert Member
May 8, 2015
239
158
Habari za usiku wadau wote wa umeme,, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza tunajua kwamba imezoeleka wiring kwenye corridor fupi unaweza tumia switch mbili za 2 way na intermediate switch moja au corridor ikiwa ndefu zaidi unaweza ukatumia 2 way switch mbili na intermediate switches nyingi kadiri ya point zako zilivyo.

Leo nataka tuu niwape elimu kidogo ambayo itakua inahusu wiring kwenye corridors ambapo kwa technology ya sasa unaweza kutumia push button switches kama zile za kwenye kengele na kuongeza kifaa kinaitwa step relay au latch relay ambapo utaweza kuwasha taa na kuzima kwenye pointa zaidi ya mbili au hata kumi kulingana na urefu wa corridor yako unayoifanyia wiring, mfumo huu ni mzuri kwani unatumia waya chache kulinganisha naungetumia labda intermediate switches kumi ambapo kila moya ingekua na waya nne ila kwa hizi push button switch ni one way ambapo zitakua na waya mbili tuu kwa kila switch.

Relay zenyewe ndio hizi hapa chini kwenye picha ninazotumia kwenye kazi zangu unaweza kuziangalia.
IMG_20181204_120125.jpeg
IMG_20181127_162248.jpeg
 
Habari za usiku wadau wote wa umeme,, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza tunajua kwamba imezoeleka wiring kwenye corridor fupi unaweza tumia switch mbili za 2 way na intermediate switch moja au corridor ikiwa ndefu zaidi unaweza ukatumia 2 way switch mbili na intermediate switches nyingi kadiri ya point zako zilivyo.

Leo nataka tuu niwape elimu kidogo ambayo itakua inahusu wiring kwenye corridors ambapo kwa technology ya sasa unaweza kutumia push button switches kama zile za kwenye kengele na kuongeza kifaa kinaitwa step relay au latch relay ambapo utaweza kuwasha taa na kuzima kwenye pointa zaidi ya mbili au hata kumi kulingana na urefu wa corridor yako unayoifanyia wiring, mfumo huu ni mzuri kwani unatumia waya chache kulinganisha naungetumia labda intermediate switches kumi ambapo kila moya ingekua na waya nne ila kwa hizi push button switch ni one way ambapo zitakua na waya mbili tuu kwa kila switch.

Relay zenyewe ndio hizi hapa chini kwenye picha ninazotumia kwenye kazi zangu unaweza kuziangalia.View attachment 958452View attachment 958454
Vizuri bro. Tunaomba wiring diagram ya Circuit ili tuielewe hasa ukizingatia kwamba Draughting ndio Lugha pekee ya mafundi
 
Back
Top Bottom