Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Kwa utafiti niliyoufanya nimegundua kimya cha viongozi wetu ni khofu kubwa inayowaghubika wakihangaika nayo hii coronavirus wasije kujikuta inawachukua jumla jumla ndiyo maana wamejificha.
Hata uchaguzi hawataki tena ndiyo maana kuna jitihada kubwa zinaendelea kuahirisha nje na ndani ya mahakama zetu..
Kwa nini wanaigopa Coronavirus?
Sababu kubwa afya zao ni mgogoro kila siku baadhi yao wanaishi kwa kudungwa vijisindano au kubugia madawa kwa magonjwa yasiyosikia dawa
Sasa huyu Mheshimiwa Coronavirus kama kuna kitu anachukia ni kuishi kwenye mwili ambao kinga yake iko herani
Hivyo, humpelekesha mgonjwa mautini chapuchapu
Sasa hawa vibosile wameona kheri nusu ya shari kuliko shari nzima wameamua kuufyata
Huko nyuma ni mikutano ya wapinzani tu ilipigwa stop sasa Mheshimiwa Coronavirus yeye ni haki tupu sasa kawapiga stop watawala kufanya kampeni wakidai wako kazini
Sasa Coronavirus kazuia mikutano yote na hata polisi hawapendi kuzozana na watu ambao wanaweza kuwa waathirika wasije kuwaambukiza
Huyu Mungu ni mwema sana pale mwanadamu anacheza faulo Mwenyezi Mungu anamkemea na mdudu ambaye mwanadamu anamsikia lakini hamwoni Teh Teh Teh
Sent using Jamii Forums mobile app