Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,652
Imekuwa confirmed sasa kuwa hata wanyama wanapata coronavirus ingawa vifo katika wanyama havijagundulika.
Africa inaongoza kuwa na wanyama wengi na hata miji inaongoza kuwa na loose animals wengi.
Wana-science wamegundua kuwa wanyama wanapata maambukizi ya coronavirus kutoka kwa binadamu ingawa haijawa confirmed kuwa wanyama wanaweza ambukiza binadamu.
Kwasababu huu ugonjwa bado ni mystery, hatuwezi jua Kama wanyama pori wetu wapo salama na covid 19. Hasa wale wanaoishi kwa magroup kama nyumbu, swala, simba etc.
Hofu kubwa ni kuwa hawa wanyama wanaweza kuwa host wa coronavirus. Ivyo basi wakawa wasambazaji wakubwa wa covid 19. If it is the case, huu ugonjwa africa utakuwa out of contral.
Wizara ya maliasili na utalii pamoja na ya Mifugo wanatakiwa waangalie hili mapema iwezekanavyo. La sivyo tunaweza poteza Wanyama pori na mifugo yetu kwa kasi ya ajabu.
Nchi nyingine kama china wameanza kuchukua hatua mapema.https://www.nytimes.com/2020/02/19/health/coronavirus-animals-markets.html
Kwa Tanzania tunatakiwa kuwa makini na wanyama kama mbwa koko ( mbwa wa mitaani), paka wa mitaani na mifugo. Hawa ndyo wasambazaji wakubwa wa covid 19 kwenda kwenye wanyama pori.
Tukipoteza wanyamapori wetu ndyo death sentence ya utalii Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app