mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,203
- 44,651
Wakishakutana na Mwana FA wana jitenga kwa siku 14
Wakishakutana na Mwana FA wana jitenga kwa siku 14
😂😂😂😂
Sikubaliani na kuvunja watu mikono ila askari wa misri waliua sana hadi wakachoka hawa wa marekani ndio balaa kabisa akisema on your knees na umesimama anakwambia kabisa am not going to repeat utasikia chuma kinalia ni muhim tuwe na taarifa sahihiTunatatizo la professionalism, utakumbuka hata wakati wa Arab spring, wanajeshi wa Misri hawakupiga waandamaji.
Marekani walala hoi wapo.sema labda nchi yao itatoa fungu si unajua tena kule wanaishi kwa adress.
Usitukane mamba hujavuka mto, hapa kwetu ndo kwanza umebisha hodi, sijui utakuja kuwaelezeaje watanzania Kama utakuwepo pale dude hili litakapotamalaki..Wa italiano ni washenzi sana ni wabishi, wagonvi, wakorofi, wanajiona matawi ya juu kiasi kwamba hata raia wa Sweden, Norway na Finland hawapatani kivile kutokana na tabia zao. Sasa corona inawanyosha.
Kule kwa akina Mwami Ruyagwa Zitto.....haha
Mlala hoi wa US nafikri kibongo land ndo mwenye kipato cha kati.Marekani walala hoi wapo.sema labda nchi yao itatoa fungu si unajua tena kule wanaishi kwa adress.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo huko saiz M.Baloteli anakenua tu 😅Lakini balotel anaonewa sana kila aendapo anabaguliwa ndo maana aliuliza " why always me?"
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Naona hata uvivu kukujibu.