Corona yapelekea bei ya mafuta ghafi ya petroleum kushuka zaidi

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,118
Bei ya mafuta ghafi ya petroleum katika soko la dunia yashuka hadi TZS 25,300 (US $11) kwa pipa, ikiwa ni kiwango cha chini zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 18.

Kupungua kwa shughuli za kiuchumi duniani kutokana na janga la #COVIDー19 kumetajwa kuwa chanzo cha anguko hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye magari mtafaidi sana sema ndio hsmruhusiwi kutoka ndani sasa, hakuna misele. Dah karibuni hapa, take away msije tuachia korona
 

Attachments

  • IMG_20200420_165927_708.jpg
    IMG_20200420_165927_708.jpg
    217.6 KB · Views: 1
  • IMG_20200420_165935_986.jpg
    IMG_20200420_165935_986.jpg
    140.8 KB · Views: 1
  • IMG_20200420_165945_493.jpg
    IMG_20200420_165945_493.jpg
    139.7 KB · Views: 1
Wazalishaji wa mafuta sasa wanawalipa fedha wateja ili wanunua mafuta hayo kuliko kuendelea kubaki nayo mikononi

kp app
 
Back
Top Bottom