Corona yapelekea bei ya mafuta ghafi ya petroleum kushuka zaidi

namvumi king

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
681
1,000
Bei ya mafuta ghafi ya petroleum katika soko la dunia yashuka hadi TZS 25,300 (US $11) kwa pipa, ikiwa ni kiwango cha chini zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 18.

Kupungua kwa shughuli za kiuchumi duniani kutokana na janga la #COVIDー19 kumetajwa kuwa chanzo cha anguko hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

jossiekaps

JF-Expert Member
Sep 11, 2015
228
250
Wazalishaji wa mafuta sasa wanawalipa fedha wateja ili wanunua mafuta hayo kuliko kuendelea kubaki nayo mikononi

kp app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom