Corona yamnyakua mshauri wa karibu wa Ayatollah Ali Khamenei kule Iran

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
20,332
2,000
Huku huyo Ayatollah akiendelea kuchukulia poa tisho la Corona kwenye nchi yake, kirusi chenyewe kinaendelea kunyakua raia wake na sasa kimemchukua mshauri wake wa karibu bwana Mohammad Mirmohammadi, 71.
Mpaka sasa wananchi waliodhurika nchini Iran ni 1,501 na waliofariki wamefikia 66
Wengine wamekimbilia kwenye kulamba madhabahu
---------------------------

(CNN)An adviser to Iranian Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei has died after contracting the novel coronavirus, state radio said on Monday.
Mohammad Mirmohammadi, 71, was a member of the Expediency Council that advises Khamenei. He is the latest Iranian official to contract the virus.
One of the country's top clerics, Hadi Khosroshahi, died last Thursday after he contracted the sickness.
Vice President Masoumeh Ebtekar and Deputy Health Minister Iraj Harirchi, who was heading the government's task force on coronavirus, have also fallen ill, according to state media.
Adviser to Iran's Supreme Leader dies after contracting coronavirus
 

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
612
1,000
Wa Israel/ Wayahudi watu wa Mungu wa KWELI wana roho mbaya.
Tupe maoni yako kuhusu hali ya corona huko US, maana jana wamarekani 525 wamekufa na kufanya Idadi ya vifo kufikia zaidi ya 2200.

2020-03-29 07.03.41.jpg
 

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
612
1,000
Dogo acha kujamber jamber
Mkuu, take it easy.

Usije kutoka nje kuzurura wakati bado mpo kwenye lockdown na muda umerefushwa.

Ila zingatia ushauri wa waziri mkuu mpendwa wa Denmark, amekushauri usiende taifa teule la Mungu, Israel.

Mungu awanusuru wadenis, maana Denmark ni miongoni mwa nchi chache zenye utu Duniani.

2020-03-29 13.49.25.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom