Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)

Salaam Wakuu,

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.

Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni kuingia kwenye kampasi zetu bila sababu maalum, kama kuja kuchukua vyeti au kufanya “clearance”. Na pale inapobidi waingie, watakiwe kuvaa barakoa wakati wote. Waende kule wanakotakiwa kwenda, na si kuzurura kila mahali. Utaratibu ufanyike kuwasaidia wanaotaka kutumia maktaba kama ni lazima, Wengi wanaitumia maktaba yetu kama mahali pa kujisomea tu. Maelekezo haya ni kwa ajili ya makao makuu, vituo vyote vya mikoa na vituo vya uratibu vilivyoko nchini.

Kuhusu waraka wa OUT, soma > Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21

Kati ya watu wanaoongoza kuwa na akili ndogo ni watanzania.

Yaani comments zinazotolewa humu ni hovyo kabisa,inaonesha wazi jinsi watanzania walivyokuwa weupe kwenye bongo zao.
Eti covid imetengenezwa maabara,eti kuna covid19 na covid21....jinga kabisa....yaani mnaendeshwa kama ng'ombe malishoni...

Why dont you try to think?...

Hivi kwanini mlipuko wa hayo magonjwa(feki) yote yatokee kuanzia miezi ya december mwisho wa mwaka au january mwanzo wa mwaka?Hamjiulizi?

Ugonjwa wa TB na magonjwa mengine kadhaa yameunganishwa pamoja yakapachikwa jina la UKIMWI(HIV/AIDS),HIV/AIDS ni ugonjwa feki unaopata sifa na umaarufu kupitia magonjwa ya kweli ambayo yapo kama vile TB nk,

Hepatitis inayosababishwa na sumu na njia nyingine ambazo si vijidudu imepewa jina la Homa ya ini halafu HB Virus akabebeshwa zigo kwamba ndio kisababishi ili watulazimishe kudungwa chanjo ili wauze chanjo na madawa mengine...hence bajeti ya serikali kununua madawa kwenye viwanda vyao kama Pfizer nk iongezeke kama ilivyo kwenye fake HIV/AIDS...

Ugonjwa wa cancer ya kizazi kwa wanawake unaosababishwa na sumu kama vile ARVs,vidonge/sindano za uzazi wa mpango,bad lifestyle nk umepewa jina feki na HP Virus akabebeshwa zigo kwamba ndio kisababishi ili watuletee chanjo za kuwadunga wake na watoto zetu wa kike ili kudhoofisha kizazi na afya zetu huku tunachekelea kijinga kabisa.....

Vivyo hivyo,Covid19/Covid21 ni jina feki lililopachikwa kwa ugonjwa wa influenza(ambao huibuka kila mwisho na mwanzo wa mwaka) ili kutimiza agenda zao kadhaa ikiwemo kutuletea chanjo zenye lengo maalum ambapo sisi mijitu myeusi hasa Tanzania hatuwezi kung'amua janja hiyo kwasababu tunaishi kama mazombie tukipokea na kuamini kila kitu kinachotangazwa na wazungu kwenye vyombo vya habari na wakati mwingine huwalipa pesa vibaraka wao wenye mvuto kwenye jamii ili watangaze uzushi huo....

QUESTION:
Mtu yeyote anayejiona anajua ataje dalili zote za COVID19 ambazo kwenye INFLUENZA hazipo.Ni muhimu kuleta Source/chanzo ulipotoa jibu lako.Karibuni.

Note;nawaruhusu mkawaulize madaktari.
 
Serekali ya Tanzania imepiga marufuku taasisi zake kutoa tahadhari dhidi ya ugonjwa korona nchini. Serekali imesema ni marufuku kwa kwa taasisi hizo kutumia Logo za serekali kutoa tahadhari hizo.

Hiyo imekuja siku chache baada ya Taasisi za Elimu SUA ,OUT kutoa tahadhari kwa wafanyakazi wake na wanafjnzi kuchukua tahadhari dhidi ya korona
Source :DW
 
Hehehehehe
 
Salaam Wakuu,

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.

Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni kuingia kwenye kampasi zetu bila sababu maalum, kama kuja kuchukua vyeti au kufanya “clearance”. Na pale inapobidi waingie, watakiwe kuvaa barakoa wakati wote. Waende kule wanakotakiwa kwenda, na si kuzurura kila mahali. Utaratibu ufanyike kuwasaidia wanaotaka kutumia maktaba kama ni lazima, Wengi wanaitumia maktaba yetu kama mahali pa kujisomea tu. Maelekezo haya ni kwa ajili ya makao makuu, vituo vyote vya mikoa na vituo vya uratibu vilivyoko nchini.

Kuhusu waraka wa OUT, soma > Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21

Sasa nyie wanafunzi nendeni chuoni mfe. Sikilizeni wanasiasa badala ya maprofessor.
 
Kwa hiyo wanafunzi wasichukue tahadhari? utawala wa hovyo kabisa
 
Kwenye fani yake kagundua nn chenye manufaa kwa taifa? Prof hajulikani mpk aandike tangazo la tahadhari ndiyo tunalisikia jina lake!! Hana tofauti na Mwanangu wa chekechea. Rubbish!!
Ulimpataje huyo "mwanao" Unahakika kweli ni mwanao?

Kama ni mwanao, na yeye atakuwa na akili mbovu kama zako atakapokua?
 
Salaam Wakuu,

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.

Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni kuingia kwenye kampasi zetu bila sababu maalum, kama kuja kuchukua vyeti au kufanya “clearance”. Na pale inapobidi waingie, watakiwe kuvaa barakoa wakati wote. Waende kule wanakotakiwa kwenda, na si kuzurura kila mahali. Utaratibu ufanyike kuwasaidia wanaotaka kutumia maktaba kama ni lazima, Wengi wanaitumia maktaba yetu kama mahali pa kujisomea tu. Maelekezo haya ni kwa ajili ya makao makuu, vituo vyote vya mikoa na vituo vya uratibu vilivyoko nchini.

Kuhusu waraka wa OUT, soma > Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21

Inashangaza sana!
 
Kwenye fani yake kagundua nn chenye manufaa kwa taifa? Prof hajulikani mpk aandike tangazo la tahadhari ndiyo tunalisikia jina lake!! Hana tofauti na Mwanangu wa chekechea. Rubbish!!

Kama wewe humjui hilo ni tatizo lako, wengine tunamjua na tunatambua mchango wake.

Mtu sexless usiyejua hata jinsia yako utaweza kujua nini kingine.
 
Mtu yeyote anayejiona anajua ataje dalili zote za COVID19 ambazo kwenye INFLUENZA hazipo.Ni muhimu kuleta Source/chanzo ulipotoa jibu lako.Karibuni.

Note;nawaruhusu mkawaulize madaktari.
Hiki kitengo chenu kimeanzishwa wapi mkuu?
Nanyi sasa mnatengewa bajeti maalum ya kukiendesha kitengo hiki?

Hongereni sana kwa kupata ulaji.

Unavyoandika, ni kama vile vile anavyosema kwenye hotuba zake profesa wenu! Hiki chuo/taasisi yenu imeanzishwa sehemu gani hapa nchini na sisi tukajiunge tupate elimu nadra sana hii?
 
Dikteta lazima atamtoa
Unamkumbuka yule mbunge wa Kigamboni Ndungulile?

Sana sana Profesa akiondolewa hapo atapelekwa sehemu nyingine, pengine yenye hadhi zaidi ya huo umakamu.

Usione hivi, hata dikteta anaujua ukweli, pamoja na kujifanya yeye ndiye mwenye ukweli pekee.

Muda si mrefu, kama hali hii iliyopo itaendelea kuwa mbaya kama inavyoelekea, utaanza kusikia sauti tofauti kabisa na zile ulizosikia huko nyuma.
Vuta subira kidogo utaona vitendo na kusikia sauti hizo tofauti sana na hizi tulizozoea.
 
Kuna mambo mengine ukijafanya mjuaji sana mwisho wa siku ni kuaibika.

Hii corona sio kitu cha kufanyia bettingi. Kuna mageneus wapo Laboratory wanatengeneza new strong variants tena hasa kwa nchi zinazojifanya jeur.

Huu ugonjwa ni man made na kwa kufata akili ndogo za Jpm lazima tutazika wengi.
Naomba waendelee kui modify ile vigogo tuu
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom