worms
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 964
- 893
Duh unafikiria kweli?Wasomi wetu wamegeuka kuwa chanzo cha Taharuki wanataka kuwachanganya wanafunzi.

Kati ya watu wanaoongoza kuwa na akili ndogo ni watanzania.Salaam Wakuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.
Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni kuingia kwenye kampasi zetu bila sababu maalum, kama kuja kuchukua vyeti au kufanya “clearance”. Na pale inapobidi waingie, watakiwe kuvaa barakoa wakati wote. Waende kule wanakotakiwa kwenda, na si kuzurura kila mahali. Utaratibu ufanyike kuwasaidia wanaotaka kutumia maktaba kama ni lazima, Wengi wanaitumia maktaba yetu kama mahali pa kujisomea tu. Maelekezo haya ni kwa ajili ya makao makuu, vituo vyote vya mikoa na vituo vya uratibu vilivyoko nchini.
Kuhusu waraka wa OUT, soma > Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21
HeheheheheSerekali ya Tanzania imepiga marufuku taasisi zake kutoa tahadhari dhidi ya ugonjwa korona nchini. Serekali imesema ni marufuku kwa kwa taasisi hizo kutumia Logo za serekali kutoa tahadhari hizo.
Hiyo imekuja siku chache baada ya Taasisi za Elimu SUA ,OUT kutoa tahadhari kwa wafanyakazi wake na wanafjnzi kuchukua tahadhari dhidi ya korona
Source W
Sasa nyie wanafunzi nendeni chuoni mfe. Sikilizeni wanasiasa badala ya maprofessor.Salaam Wakuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.
Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni kuingia kwenye kampasi zetu bila sababu maalum, kama kuja kuchukua vyeti au kufanya “clearance”. Na pale inapobidi waingie, watakiwe kuvaa barakoa wakati wote. Waende kule wanakotakiwa kwenda, na si kuzurura kila mahali. Utaratibu ufanyike kuwasaidia wanaotaka kutumia maktaba kama ni lazima, Wengi wanaitumia maktaba yetu kama mahali pa kujisomea tu. Maelekezo haya ni kwa ajili ya makao makuu, vituo vyote vya mikoa na vituo vya uratibu vilivyoko nchini.
Kuhusu waraka wa OUT, soma > Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21
Misukule ya Jiwe kazini .Mwambieni huyu Prof aingie maabara afanye utafiti ili kupata dawa ya korona. Siyo kubwatubwatuka tu.
Msukule wa Jiwe kazini.Wasomi wetu wamegeuka kuwa chanzo cha Taharuki wanataka kuwachanganya wanafunzi.
Kwa hiyo wanafunzi wasichukue tahadhari? utawala wa hovyo kabisaSalaam Wakuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.
Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni kuingia kwenye kampasi zetu bila sababu maalum, kama kuja kuchukua vyeti au kufanya “clearance”. Na pale inapobidi waingie, watakiwe kuvaa barakoa wakati wote. Waende kule wanakotakiwa kwenda, na si kuzurura kila mahali. Utaratibu ufanyike kuwasaidia wanaotaka kutumia maktaba kama ni lazima, Wengi wanaitumia maktaba yetu kama mahali pa kujisomea tu. Maelekezo haya ni kwa ajili ya makao makuu, vituo vyote vya mikoa na vituo vya uratibu vilivyoko nchini.
Kuhusu waraka wa OUT, soma > Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21
Dikteta atatengua uteuzi wakeHata akisimamishwa ukweli utabaki kuwa ukweli tu. Na ataendelea kubaki na uprofesa wake aliousomea na sio wa kuandikiwa kama.....................uliosabisha ................Asante prof.Usiogope
Ulimpataje huyo "mwanao" Unahakika kweli ni mwanao?Kwenye fani yake kagundua nn chenye manufaa kwa taifa? Prof hajulikani mpk aandike tangazo la tahadhari ndiyo tunalisikia jina lake!! Hana tofauti na Mwanangu wa chekechea. Rubbish!!
Inashangaza sana!Salaam Wakuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.
Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni kuingia kwenye kampasi zetu bila sababu maalum, kama kuja kuchukua vyeti au kufanya “clearance”. Na pale inapobidi waingie, watakiwe kuvaa barakoa wakati wote. Waende kule wanakotakiwa kwenda, na si kuzurura kila mahali. Utaratibu ufanyike kuwasaidia wanaotaka kutumia maktaba kama ni lazima, Wengi wanaitumia maktaba yetu kama mahali pa kujisomea tu. Maelekezo haya ni kwa ajili ya makao makuu, vituo vyote vya mikoa na vituo vya uratibu vilivyoko nchini.
Kuhusu waraka wa OUT, soma > Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21
Akifanya hivyo atakuwa amemjengea heshima kubwa Profesa. Profesa hatenguliwi kwenye cheo chake cha uteuzi.Prof uteuzi wake utatenguliwa soon kwa kwenda kinyume na msimamo wa dikteta
Dikteta lazima atamtoaAkifanya hivyo atakuwa amemjengea heshima kubwa Profesa. Profesa hatenguliwi kwenye cheo chake cha uteuzi.
Kwenye fani yake kagundua nn chenye manufaa kwa taifa? Prof hajulikani mpk aandike tangazo la tahadhari ndiyo tunalisikia jina lake!! Hana tofauti na Mwanangu wa chekechea. Rubbish!!
Hiki kitengo chenu kimeanzishwa wapi mkuu?Mtu yeyote anayejiona anajua ataje dalili zote za COVID19 ambazo kwenye INFLUENZA hazipo.Ni muhimu kuleta Source/chanzo ulipotoa jibu lako.Karibuni.
Note;nawaruhusu mkawaulize madaktari.
Unamkumbuka yule mbunge wa Kigamboni Ndungulile?Dikteta lazima atamtoa
Naomba waendelee kui modify ile vigogo tuuKuna mambo mengine ukijafanya mjuaji sana mwisho wa siku ni kuaibika.
Hii corona sio kitu cha kufanyia bettingi. Kuna mageneus wapo Laboratory wanatengeneza new strong variants tena hasa kwa nchi zinazojifanya jeur.
Huu ugonjwa ni man made na kwa kufata akili ndogo za Jpm lazima tutazika wengi.