Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)

Mwambieni huyu Prof aingie maabara afanye utafiti ili kupata dawa ya korona. Siyo kubwatubatuka 6 in
Shut up MATAGA!! Watu wanapukutika kama nzige halafu wewe unaleta lugha za hovyo kama hizi? Huyu prof ni wa kuungwa mkono na wote wenye akili wanaoitakia mema Tanzania na sote tunapaswa kumuunga mkono na kumtetea! Halafu kesho baba yenu utasikia kamtumbua kwa sababu za ujinga. Huyu ni Prof wa ukweli na anaongelea sayansi sahihi ya kujikinga na Korona.

Besides, wanafunzi wa OUT husoma wakiwa nje, wengi huja kwa consultation na kuingia library, ndiyo maana ya Open University, hivyo going virtual is the way! Lakini pia wanafunzi wengi wanaosema nje kwa mfano China wamerudi nyumbani pale Korona ilipo pamba moto, lakini kila siku wanasoma virtually, masomo yako interactive live mwanafunzi anaweza kuwasiliana na mwalimu, mitihani kila leo, na ukifeli lazima kurudia! Sasa watanzani mmelishwa matango pori na huyo baba yenu, eti kaomba Korona ikakimbia! Shame!! Yeye kakimbilia kwao kujificha na kujifukiza, nyie mmebaki humu mnapinga matarumbeta ya ujinga! Mnaudhi sana mjue! Where is you brain??
 
Proffressor gani uchwara huyo asiyejua chain of command? kuamua kufunga chuo haliko ndani ya mandate yake sio mali yake binafsi hiyo
Nchi hii yahitaji uwe wa jalalani kufuata chain of command na ikafanya kazi! Na nyote mnaosapoti serikali kwenye hili ni vilaza tupu! Shame on you all!
 
Wote tunaamini hali ni mbaya sana nchi nzima, hawa wakuu wa vyuo wanajua kinachondelea vyouni na hali ya vifo ilivyo! lkn kuna watu hawataki hali iwekwe wazi ili kulinusuru taifa! shame! shame!
 
Wote tunaamini hali ni mbaya sana nchi nzima, hawa wakuu wa vyuo wanajua kinachondelea vyouni na hali ya vifo ilivyo! lkn kuna watu hawataki hali iwekwe wazi ili kulinusuru taifa! shame! shame!
Kulinusuru taifa na nini mkuu na watu wanakufa?
 
Back
Top Bottom