#COVID19 Corona Wimbi la Tatu: Warudisheni vijana wa JKT nyumbani kuepuka msongamano

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,382
2,000
Kama sikosei mwaka Jana, 2020 vijana wa Mujibu wa Sheria waliokuwa JKT walirudishwa nyumbani mapema baada ya Corona kupamba Moto Kama ilivyo Sasa.

Mashauri Kama ilivyofanyika mwaka Jana, 2020, vijana warudishwe nyumbani kupunguza msongamano na kuwaepusha na maambukizi ya Corona.
 
Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
6,787
2,000
Isije ikawa kama jirani zetu wanataka pesa za who sasa wanakazana kupiga tarumbeta corona
corona
Najisemea tu
Wizara husika wametoka mafichoni kama vile utawala uliokwisha na wa sasa si dugu moja
Takwimu zisiwe za kupikwa kuweni wakweli lakini MABEBERU wanasema watatuletea chanjo tu si PESA
 
edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
6,067

Ndio ipo hivyo

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,023
2,000
Umeongea point kubwa sana Mkuu.
Kama sikosei mwaka Jana, 2020 vijana wa Mujibu wa Sheria waliokuwa JKT walirudishwa nyumbani mapema baada ya Corona kupamba Moto Kama ilivyo Sasa.
Mashauri Kama ilivyofanyika mwaka Jana, 2020, vijana warudishwe nyumbani kupunguza msongamano na kuwaepusha na maambukizi ya Corona.
 
MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,565
2,000
Ni kweli, juzi nilijikuta nakomaa na mgonjwa wa korona, hata huu mwenge upigwe marufuku
 
LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
5,485
2,000
CORONA? Eti wimbi la tatu!. Ina maana kutakuwa na wimbi la nne,tano,saba na kuendelea. Hizi ni siasa tu juu ya afya za watu. Inawezekana dunia ikaingizwa kwenye attention nyingine ya kutisha baada ya corona. Kulikuwa kuna ukimwi hofu yake haipo. Y2k nayo ilitisha sana lakini dunia ingali inaendelea
 
Jana Rais Samia ametumia neno wimbi la Tatu. Anyway ngoja uguswe ndiyo utàamini na kuleta mrejesho hapa
 
pandagichiza

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
3,893
2,000
Kama sikosei mwaka Jana, 2020 vijana wa Mujibu wa Sheria waliokuwa JKT walirudishwa nyumbani mapema baada ya Corona kupamba Moto Kama ilivyo Sasa.
Mashauri Kama ilivyofanyika mwaka Jana, 2020, vijana warudishwe nyumbani kupunguza msongamano na kuwaepusha na maambukizi ya Corona.
Waende wapi ambako hakuna msongamano?
Misongamano ipo kila sehemu, kwenye daladala, sokoni, kanisani, shuleni, vyuoni, nk
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom