SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,756
Yule mhutu bure kabisaJana Bashiru anasema CCM ilindwe hasa kipindi hiki cha corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mhutu bure kabisaJana Bashiru anasema CCM ilindwe hasa kipindi hiki cha corona.
Uuuuuuugh ule mlenda wakeSisi tunaopika kwenye masherehe usitusahau. Jana nimemuona open kitchen anapika mboga ya maboga, utumbo, mlenda na ugali ajilie.
Kwa evidence hizi nawezaje kukupinga?Mkuu Elli naomba kutofautiana na wewe, CCM inategemea mabavu ya vyombo vya dola tu ku-survive. View attachment 1403748View attachment 1403751View attachment 1403752View attachment 1403753View attachment 1403754View attachment 1403756
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure..! Lakini kwa nchi za dunia ya tatu akiba haitunziki ukitunza tu majanga yanakufika yanaikomba yote hata kabla ya kufikia lengo la kiita akibaHuu ni wakati wa kujifunza kuwa na akiba
Hapo sana,ngoma nzito
Kwa kutumia jeshi
mhh mbona hii ni mboga upper class au mwenzetu unaionaje,maana jf ina vibopaa.Sisi tunaopika kwenye masherehe usitusahau. Jana nimemuona open kitchen anapika mboga ya maboga, utumbo, mlenda na ugali ajilie.
Mimi ni kibopa wa Kwamtogole utumbo mbona ni win win hutupi mifupa.mhh mbona hii ni mboga upper class au mwenzetu unaionaje,maana jf ina vibopaa.
Sent using Jamii Forums mobile app