Corona Virus; New 9/11 (Welcome to a New Normal)Prt 6

Salim A. Msangi

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
566
511

Ulaya wanayo mkakati kufikia 2025 wawe wameachana kabisa na sarafu na waende kwenye Cashless Society. Moja ya vitu ambavyo janga hili litafanikisha ni kuongeza kasi ya kusambaa kwa Cashless Society kwenye uwigo mpana, na wakati ambapo tutakuwa tunaandika historia ya janga hili dunia nayo itakuwa inashi kwenye hatua za mwisho za sarafu, au tayari ipo ndani ya Cashless Society.

Kama tunavyo sema, ushindi unao letwa na janga hili dhidi ya walimwengu, kwa hisani ya maadui wa ulimwengu na walimwengu ni KUTAWALA KILA NUKTA YA MAISHA YAKO. Matumizi yako ya fedha, unavyo poke ana unavyo tumia, wapi unatolea na wapi unakwenda kuitumia, ni sehemu muhimu sana ya maisha yako, na jamaa hii nayo hawaitaki kuiacha, lazima uwe chini yao, usinunue, wala kuuza bila kuwa na Global ID, na siku ukijifanya wewe unajua zaidi, tunabonyeza kitufe na kuzima hiyo ID yako halafu tuone utakula wapi, halafu hatuizimi yote utatupa shida kukufuatilia, tunazima upande wa benki tu, unakuwa hukopesheki wala huwezi kuuza chochote wala kununua labda ufanye Barter Trade. Wakati huo vyombo vya Habari vimesha kutangaza kwenye kwa wananchi wa Global Citezen kwamba wewe ni gaidi, nani atakubali kufanya hiyo barter trade na gaidi, labda magaidi wenzako, hivyo rasmi mtakuwa mumeanzisha kikundi cha magaidi, kinacho lenge kuharibu uchumi, kukwepa kodi kwa sababu kinafanya biashara nje ya mfumo kwa kutumia barter trade, sababu muafaka kukukamata kukuweka ndani kwa muda usio julikana au hata kuuwawa … welcome to the new normal world.

Kama ndoto za alianacha vile.

Lakini kila hatua inayo chukuliwa dhidi ya janga hili, zinathibitisha ndoto hizo ni kweli na zipo wazi kama jua la saa sita mchana kwenye jangwa la Sahara.

Wenye kumiliki mabenki au taasisi za fedha, na hapa nazungumzia wamiliki wa haya mabenki, na wala usidhani kuwa ni wale walio weka pes ana mitaji kama watu binafsi, taasisi ama serikali, hapana hapa nazungumzia wale wamiliki wenyewe ambao wao wametoa kibali kwa nchu husika kufanya biashara hizo.

Benki Kuu ya nchi, yoyote ile duniani siyo mali ya nchi husika.

Haya ni maneno makubwa sana kusema.

Nchi husika huwa nayo benki kuu yake, lakini benki kuu hiyo inayo mahala ambapo inajibu, inatoa maelezo, na kupokea maelekezo. Biashara hii ni kama ‘franchise business’, kuna mwenye hati miliki ambaye ndiye anaruhusu nchi kama nchi kuwa na benki kuu. Hivyo Benki Kuu ya nchi yoyote ni kama meneja kwa benki zingine zote ndani ya nchi kuhakikisha kuwa benki hizo zinafuata matakwa, maono na mipango ya Mkurugenzi.

Huyo Mkurugenzi ndiye anaye weza kusema nchi Fulani imefilisika, nchi Fulani haifai kukopesheka, nchi Fulani tuifanye hivi na hivi, sababu anaona mwenendo wa duka lake linalo itwa Benki Kuu namna linavyo fanya kazi.

Mkurugenzi wa benki zote duniani siyo nchi, bali ni taasisi, na siyo taasisi za kiserikali. Nazungumzia World Bank, International Monetary Fund, na Bank for International Settlements. Hizi ndiyo benki kuu za ma-benki kuu kote duniani n azote zinaripoti kwa hawa wakurugenzi wa kidunia.

Mada hii ni pana kidogo na inahitaji kutulia kuelewana, lakini kuna posti nilisha andika awali kuhusiana na Benki na mambo ya fedha … kwa musa wako unaweza kuzipitia hapa

MFUMO WA MABENKI NA HATMA YETU

BENKI JINAMIZI LA TAIFA (WEZI WALIO PEWA LESENI)

SIRI YA PESA NA ILLUMINANTI


Kwanini hapa nimelileta tana suala hili?

Hawa niliyo wataja kama wakurugenzi kwa muda mrefu wamekuwa wakiweka nguvu kubwa kwenye ajenda mbili, Global Warming na Crypto Currency.

Hapa nitazungumzia Crypto Currency.

Benki Kuu nyingi kwenye maitaifa ya Ulaya, China, Urusi na Marekani kwa sasa zimeanza kutengeneza kile kinacho fahamika kama CBDC kwa kirefu Central Bank Digital Currency. Moja ya faida zake ni kuondoa mlolongo wa malipo na gharama hasa malipo yanapokuwa ni yale ya kuvuka mpaka wa nchi moja kwenda nyingine, hi ni faida kwa watumiaji wa kawaida. Lakini faida kwa Global Elite ni kubwa zaidi, hasa kuchukulia kwamba ni mfumo ambao unakwenda moja kwa moja kuathiri au kuuingilia usiri wa taarifa za kifedha za mtu binafsi. Kwa munasaba ya mada yetu, hapa ndipo mada hii ya Crypto Currency inapo ingia, sababu Digital ID na Crypto Currency ni kama dawa na mgonjwa.

CRY.jpg


Wanakadiria kuwa watu Bilioni 1.7 duniani hawana akaunti benki lakini kwenye ulimwengu wa Crypto Currency na Global ID au hata kwa kutumia simu zao watu hawa wataongeza ustawi wa uchumi kidunia nan chi zitakusanya kodi stahiki. Hii ni Habari nzuri kwa serikali na wapenda maendeleo wote.

LAKINI.

Inayo shida kubwa sana kwetu wanachi wa Global Citizen … tracking … kama ambavyo sasa wanaweza kufuatilia chochote kupitia Crypto Currency kuanzia uzalishaji wa bidhaa viwandani mpaka kwa mnunuzi wa mwisho …. Soon na sisi tutakuwa tracked.

Petrodollar inadondoka, Federal Reserve wanaendelea kuchapisha mabilioni ya dola yanayo hitajika kuendelea kuishikilia Petrodollar wakati kasi kuhama kwenda kwenye mfumo wa cashless ukishika kasi.

Cashless Society ulipokuwa ukiitaja kipindi cha nyuma … watu wanakutizama kwa jicho la, ndiyo walewale wazee wa Conspiracy Theory. Leo tunaona benki ku duniani zikishindana kasi kuelekea kwenye Crypto Currency, baadhi ya nchi zimeshaweka deadline ya mwisho wa matumizi ya sarafu.

IMF waziwazi inazungumzia kuhusu CBDC, inashirikiana kwa ukaribu sana na RIPPLE, moja ya wadau wakubwa na walio jijenga vilivyo kwenye ulimwengu wa Crypto na kufanya mashirikiano na mami ya benki ulimwenguni. BIC nao wako kwenye mchakato wa kuhamia kwenye Crypto. China nao wanajiandaa kuzindua CBDC yao. BRICS muungano unao wahusisha Brazili, Rassia, India, China na South Africa ambao lengo lao la msingi kwenye kuungana ni ili kuweza kuachana na sarafu ya dola, nao wanajiandaa kuja na Crypto yao itakayo wawezesha kuachana na dola ambayo inahema kwa mtutu wa bunduki. Ujerumani wamepitisha sharia kuanzia January 2020 benki zake ziweze kuuza na kununua Crypto. Ukraine wamepitisha sharia mpya ambayo inaruhusu ‘virtual assets’ kutumika kama malipo.

Federal Reserve imesema kwa karibu sana wanaitazama CBDC lakini hawajafikiria kujiunga. Hawawezi sema wapo tayari itakuwa ni sawa na kujitangazia kifo chao wenyewe, muda ukifika vitendo vitapaza sauti, bado watu wanatakiwa kuwa na imani na dola na sote tunajua haitasimama pembeni milele ikiwatizama China na Urusi wakikimbizana kuanzisha Crypto zao. Facebook nao wamekuja na Crypto yao … sijui tunaona mambo yanavyo kwenda.

Tunaelekea kwenye mfumo mpya wa kifedha ambao uwepo wa janga hili la Covid-19 ni sababu nyingine tosha ya kuuharakisha mfumo huo, suluhisho la Covid-19 linakuja pamoja na global ID, ambayo matumizi yake yatahusisha mpaka ‘virtual currency’ aka crypto aka cashless.

Je tunahitaji mfumo mpya wa kifedha?

NDIYO

Hilo ndilo litakalo kuwa jibu la walimwengu, na mfumo mpya utakao fuatilia kila hatua ya maisha yako utaambiwa ndiyo suluhisho lako, na mfumo huo utaimbiwa mapambio kama muokozi wetu.

Swali ni je mfumo huu mpya utaanza kabla ya anguko la kiuchumi la kiduani, au baada ya anguko hilo, sababu Petrodollar haiondoki kirahisi hivyo, lazima ipigane na kurusha mateke ya mwisho mwisho ambayo yatakwenda kuudondosha uchumi, lakini wakati huo watu wazima wamesha chukua chao, nchi zitalia na kusaga meno, wananchi mmoja mmoja watajitundika, kujiua na kunywa sumu, serikali zitadondosha na kwenye majivu ya moto huo … mfumo mpya wa kifedha utaibuka … lakini hapo ni baada ya kuipiga pini Corona na kila mtu anayo digital ID.



Hivyo basi tumeweza kuona asili ya janga hili ni jambo lenye maswali. Lakini muhimu zaidi tumeona kuwa asili yake siyo kitu cha umuhimu hapa hata kidogo. Kinacho mumunywa bila kusema kuhusiana na janga hili ni kuwa dunia inakwenda kubadilika, mabadiliko ambayo yalihitaji janga hili ili yawezwe kutekelezwa kwenye wigo mpana. Nambari moja ni chanjo kwa walimwengu wote, ila tunajua chanjo ni mjumbe anaye kusudiwa hapo ni Glabal ID.

SULUHISHO KWENYE JANGA KAMA HILI NI MUHIMU SANA, KUANDIKA BANDIKO REFU KAMA HILI NA KUONDOKA BILA KUTOA SULUHISHO ITAKUWA SIJAITENDEA HAKI KAZI HII WALA WASOMAJI WANGU.

1- MOJA NI KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE MINYORORO YA UTUMWA WA KIFIKRA NA KUANZA KUITAZAMA DUNIA KWA JICHO LINGINE. TAFUTA AINA HII YA MAANDIKO KADIRI INAVYO WEZEKANA, ZA KUAMBIWA CHANGAYANYA NA ZAKO.

2- UKISHA KUWA NA AINA HII YA MTAZAMO NI RAHISI KUSHARE, NA KUWASAIDIA WENGINE NAO KUFUNGUKA KADIRI INAVYO WEZEKANA IKIWEMO FAMILIA YAKO.

3- ANZA KUJIWEKA HURU NA MFUMO KADIRI INAVYO WEZEKANA. KAMA ATAANZA KUJILISHA WEWE NA FAMILIA YAKO KWA KUTEGEMEA CHAKULA KUTOKA SHAMBANI KWAKO HILI NI BORA ZAIDI. KAMA UTAWEZA KUWEKA AU KUTUMIA NISHATI MBADALA KAMA UMEME WA UPEPO N.K NI BORA. HIVYO HIVYO ANGALI UAPNDE WA MAJI, DAWA N.K, LENGO NI KUJIWEKA HURU NA MFUMO KADIRI UNAVYO WEZA.

4- KAMA MNAWEZA UA UNAWEZA KUTENGENEZA JAMII YENU AMBAYO MTAWEZA KUUZIANA NA KUNUNUA BAINA YENU BIDHAA ZENU MNAZO ZALISHA WENYEWE PIA NI BORA ZAIDI.

Kwa uchache sana hayo ni mambo ya msingi ambayo mtu inabidi kuyaweka kwenye malengo na mipango na kuanza kuyatekeleza taratibu. Mambo hayo haya-guarantee usalama wako mia kwa mia, sababu Bill Gate ame investi, huyu mtume wa huu mfumo unao kuja kuifunga dunia, kailekezwa pia awekeze kwenye Satelite ambazo zitakuja kuhakikisha kuwa, wale wabishi watakao kata kupoke chanjo watamulikwa kokote walipo na wakionekana wakamatwe na hatua stahiki zichukuliwe dhidi yake … You Can Run But You Cant Hide.

Wanapanga yao, na Mola Mtukufu naye anapanga yake, lakini ili msaada wa Mola Mtukufu utufikie lazima na sisi tu-play our part, na dondoo nne hapo juu ni sehemu ya our part, kulingana na hali mazingira na wakati zinaweza ongeza au kupungua.



….. Till Next time Tchaaaooooo ….

ZILIZO TANGULIA
: Corona Virus; New 9/11 (Kumekucha)Prt 1
: Corona Virus; New 9/11 (Global Respond)Prt 2
: Corona Virus; New 9/11 (P+R=S)Prt 3
:Corona Virus; New 9/11 (Gates Man of the Show)Prt 4
: Corona Virus; New 9/11 (Global ID)Prt 5
 
Back
Top Bottom