Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,395
- 3,899
Ni wazi kwamba China isingeliweza kutumia mbinu ya kuzima maandamano ya Hongkong kwa nguvu kama ilipotumia nguvu kubwa kuzima maandamano ya Tianamen kati ya juni 3 na juni 4 mwaka 1989 iliyopelekea kuuawa kwa watu zaidi ya 1000
China imeona hatari kubwa ya kugawanywa kulingana na vugu vugu ambalo lilikuwa limeanzia HONGKONG hili lingeendelea lingeathiri Uchumi wa China kwa miaka yote maana lingeondoa Sera ya China moja
Corona Virus ni virus ambao hata sisi tunakutana nao kwenye mazingira yetu kutoka kwa Polo, panya, nyoka etc
Covid- 19 amerutubishwa kwenye maabara yaani amekuwa genetically Engineered na specifically anafanya madhara kwa binadamu tu na si vinginevyo
Ukiangalia wahusika wakuu akiwemo Daktari aliyetoa taarifa mapema amekufa akiwemo na Mkurugenzi mkuu wa Hospitali lengo ni kupoteza ushahidi kutoka kwa watu ambao hawajanywa maji ya Bendera
Kwa hiyo watakaobaki na hiyo Siri ni wanywa maji ya Bendera ya nchi ambao State house ndo nyumbani kwao