#COVID19 Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa

Mungu wenu watanzania ni yupi?
Upo sahihi sana ndugu yangu. Kikubwa ni imani thabiti kwa Mungu wetu huku tukifuata maelekezo yote kutoka kwa wataalamu wetu (wizara ya afya).
 
Hayo mataifa mengine hayana walau watu 10 wenye imani ili waibuke washindikama mnavyotegemea Tanzania itaibuka mshindi?
Maswali yako ni ya kisayansi zaidi. Imani sio Sayansi. Itafika wakati utaona hii tofauti.

Binafsi nilikuwa mbishi sana kuliko wewe kuhusu haya mambo ya Imani. Wakati wangu wa kuelewa ulipofika nilisalimu amri.

Nikutakie heri kwenye safari yako ya udadisi.
 
Tofauti yetu na wao.
Sisi tumemkabidhi AFYA ZETU.
Tumemwambia MUNGU wewe ndiye tunakutegemea
Mungu anayeabudiwa Vatican na wakatoliki, Mecca na Waislamu, India na Wahindu na China na Wabudha ni huyo huyo mmoja?
 
Naam!

Msingi wa Imani yangu ni Biblia. Kitabu cha kumbukumbu la Torati 28 kimeandika faida za kumuamini na kumtumikia Mungu. Hizi faida zinapatikana hapa hapa Duniani. Kitabu hiki sura 19 kimeandika hasara za kutomwamini Mungu. Hizi nazo zinatokea humu humu Duniani. Ndio kusema Moto wa milele tunaanza kuteseka nao hapa hapa Duniani.
Kama moto upo hapa hapa duniani bakubaliana na wewe, ila kusema atatuchoma moto wa milele haingii akilini.
 
Hakuna swali lolote la kisayansi nililouliza hapo, nimeuliza swali jepesi la kimantiki tu.
Maswali yako ni ya kisayansi zaidi. Imani sio Sayansi. Itafika wakati utaona hii tofauti.

Binafsi nilikuwa mbishi sana kuliko wewe kuhusu haya mambo ya Imani. Wakati wangu wa kuelewa ulipofika nilisalimu amri.

Nikutakie heri kwenye safari yako ya udadisi.
 
Mmemkabidhi Mungu yupi? Wapi ambao hawajamkabidhi? Kwamba Mecca,Vatican na Washington wamesahau kumkabidhi Mungu Afya zao? Mbona nawaona na wao wakisali na kuswali kila siku?
Tofauti yetu na wao.
Sisi tumemkabidhi AFYA ZETU.
Tumemwambia MUNGU wewe ndiye tunakutegemea
 
umesikia kiongozi yeyote akisema amemkabidhi MUNGU janga la Corona zaidi ya magufuli?
Mmemkabidhi Mungu yupi? Wapi ambao hawajamkabidhi? Kwamba Mecca,Vatican na Washington wamesahau kumkabidhi Mungu Afya zao? Mbona nawaona na wao wakisali na kuswali kila siku?
 
Charity begins at home wengine hawaamini katika maombi watanzania tunaamini
I cant waste my time praying for infidels countries who dont believe that God can remove Cotona in their countries wapambane na hali yao na upagani wao
Kwa hali ilivyo tz na duniani kitakachotuokoa ni ALLAH pekee hakuna cha zaidi ni kumuomba yeye, ila nashangaa hadi leo kuna watu wanashindwa kutamka wazi kuwa tz kuna korona, huu ni unafiki na Mungu hapendi wanafiki na waongo
 
Mbona ALLAH ameshindwa kuwaokoa Mecca?
Kwa hali ilivyo tz na duniani kitakachotuokoa ni ALLAH pekee hakuna cha zaidi ni kumuomba yeye, ila nashangaa hadi leo kuna watu wanashindwa kutamka wazi kuwa tz kuna korona, huu ni unafiki na Mungu hapendi wanafiki na waongo
 
Watu waombe miungu yao wote kadri watakavyojisikia ila sayansi na utaalamu lazima uwe ndio muongozo wetu namba 1 kama taifa kwa sababu sio wote wanaokubaliana na hizo imani ila wote ni lazima tukubaliane kufuata mpango wa kisayansi.
sasa shida IPO wapi?
 
Mungu ametupa maarifa tuyatumie, corona ilipoingia nchini kulikiwa na hamasa nzuri sana,kila mmoja lijihadhari na kumsimamia vizuri aliyeonekana kulegalega, pamoja na maombi ila hilo nalo lilikuwa jambo lililopunguza kuenea kwa ugonjwa, ila saizi mtu univaa hata mask watu wanakushangaa........hakuna anayekataa uwepo wa Mungu ila huyohuyo Mungu ametoa maarifa kwa wanadamu yawasaidie.......tuhubiri tahadhari na kumrudia Mungu.....lasivyo haohao wanasiasa ndiyo wapo kwenye risk kubwa ya kuupata ugonjwa kutokana na movement zao.

Jk kuvaa mask siyo mjinga
 
Wapo wanaokataa uwepo wa Mungu katika Taifa hili kwa sababu katika taifa hili sio lazima kuamini Mungu au kuwa na dini. Tuachane na hizi kauli za kubembelezana sana, tujikite kudai ujuzi na taaluma katika kuliongoza taifa sio Imani za watu.

Back
Top Bottom