Corona Misri: Hadi sasa wamesajili vifo 30 na maambukizi 500

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,407
Misri inaongoza Afrika kwa idadi ya vifo.
Hadi sasa wamesajri vifo 30 na maambukizi 500

=====

Voice of the voiceless

COVID-19 death toll hits 30 in Egypt as cases skyrocket above 500, highest in Africa

A team of experts from the World Health Organization (WHO) concluded a COVID-19 technical support mission to Egypt on 25 March 2020 as confirmed cases continued to climb, skyrocketing above 500 and leaving at least 30 people dead.

RIGHT NOW:

Egypt on Saturday had at least 536 confirmed cases of coronavirus. At least 30 people had died and a minimum of 116 people had recovered, according to data from Egyptian authorities and Johns Hopkins University.

Egypt now has more coronavirus cases in Africa, followed by Algeria, which has 409 cases with 26 deaths. At least 29 people have recovered.

WHO mission to Egypt was to understand the current situation; review ongoing response activities; provide on-site technical support as needed; and identify strengths and gaps to guide response priorities.

“After several days of intensive meetings and field visits both inside and outside Cairo, we see that Egypt is making substantial efforts to control COVID-19 outbreak. Significant work is being done, especially in the areas of early detection, laboratory testing, isolation, contact tracing and referral of patients,” says Dr Yvan Hutin, Director for Communicable Diseases in WHO’s Regional Office and mission team lead.

“But more needs to be done. There is now a critical window of opportunity to effectively control the outbreak before the current local transmission progresses to community transmission. We have agreed on several areas that can be scaled up, taking a whole-of-government and whole-of-society approach.”

Considerable efforts have been made by the government in allocating additional dedicated human and financial resources needed to contain the outbreak. Progress has been made in expanding the number of peripheral laboratories that are now able to test for COVID-19, and consideration will be made in engaging overall laboratory capacities. Across the country, 17 laboratories now have the capacity to test cases. An additional four will be added soon and university laboratories will also be engaged. With support from WHO and other partners, Egypt now has the capacity to conduct up to 200,000 tests.

Egypt’s strong disease surveillance system and contact tracing efforts have proven effective in controlling managing sporadic and clusters of cases before they can spread. Recent border closures now provide an opportunity to enhance screening and rapid testing capacity using a risk assessment approach.

Maintaining effective contact tracing with proper quarantine mechanisms, as well as continuing systematic testing of patients seeking treatment for all acute respiratory infections will ensure that no critical COVID-19 cases are missed.

Building on the current well-structured Infection Prevention and Control (IPC) programme, WHO will work with national health authorities to enhance the isolation, quarantine and referral mechanisms, and scale up IPC practices to prevent transmission at all levels to ensure that patients and health workers are protected.

Significant efforts have been made to ensure the public is updated on the current situation, including working with other sectors to reach vulnerable populations. Greater coordination and partnerships with civil society, NGOs, and the media will ensure that the public is able to make informed decisions, without succumbing to mistrust and the stigma associated with the disease.

“Health officials and health workers are clearly working very hard and are committed to controlling this outbreak and saving lives. The fight against coronavirus in Egypt is ongoing, and we need everybody in the country to be engaged in this response. The right and timely public health measures implemented with the right scale can make a difference,” adds Dr Hutin.

Kamanda, nchi ya pili ni ipi baada ya egypt?
 
Tunawaombea Mungu awaponye haraka walioathirika, na waliokufa awasamehe makosa yao...mwisho poleni wafiwa, kazi ya Mungu haina makosa!
 
Ukiweka kando vifo, idadi ya maambukizi hadi leo sijaelewa speed aliyoitumia South Africa kumpita Egypt.
 
Speed pia inatokana na uwezo wa nchi kufanya testings, kwa mfano Burundi ni virus free ila kuna Mtanzania aliyetokea Burundi ametajwa kwenye baadhi ya waathirika.
Wiki ijayo hapa Kenya tunakusudia kufanya mass testing, maana maabara nyingi zimewezeshwa, tegemea namba kupanda kwa kasi.
Hapo Bongo nilimskia waziri wenu akisema maabara ni moja tu inayopima Corona, hivyo namba zenu zitaendelea kubaki chache kwa muda.
 
Very logical. Kwa maana nyingine wako wengi ambao hawajapata fursa kuwa tested

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Speed pia inatokana na uwezo wa nchi kufanya testings, kwa mfano Burundi ni virus free ila kuna Mtanzania aliyetokea Burundi ametajwa kwenye baadhi ya waathirika.
Wiki ijayo hapa Kenya tunakusudia kufanya mass testing, maana maabara nyingi zimewezeshwa, tegemea namba kupanda kwa kasi.
Hapo Bongo nilimskia waziri wenu akisema maabara ni moja tu inayopima Corona, hivyo namba zenu zitaendelea kubaki chache kwa muda.
Hii kitu bado hainiingii akilini vizuri. Hata kama watu hawajafanyiwa vipimo, je inawezekana mtu mwenye maambukizi kukaa wiki mbili mpaka nne bila tiba yoyote na bado akaendelea kudunda mtaani?.
Bado naamini idadi ya visa vya covid 19 kwenye baadhi ya nchi, ipo chini sana.
Huu ugonjwa haujifichi na huwezi kuuficha kwa hali zetu za uchumi wa familia. Kama tungekuwa na wagonjwa wengi lakini mamlaka zinaficha, tungeumbuliwa na watu wengi kuumwa ugonjwa unaofanana lakini hata vifo vingetuumbua.

Bado nasisitiza tuendelee kuchukua tahadhali kujikinga dhidi ya ugonjwa huu hatari.
 
Itakua wewe sio mfuatiliaji wa hili suala la Corona, kunao wanapimwa na kupatikana nayo bila wao kuhisi dalili zozote, kuna matukio mengi sana ya namna hiyo, kuna jamaa amekua kwenye karantini ya kwake nyumbani akiwa na mkewe wote wawili walipatikana na Corona wakaamua kujifungia ndani, wiki zote mbili mke ameumwa balaa ila jamaa alikua anadunda humo ndani bila kuhisi chochote.
Fahamu kwamba wengi wa walio kwenye karantini kwa nchi zetu hizi ni wale waliosafiri, au walitangamana na waliosafiri na wakapatikana na Corona, ila watu wengi wako mitaani mtu hata akiumwa dalili za kirusi hatakwenda kuchekiwa, labda aone amefikia hatua za kufa, maana watu wamezoea kuumwa mafua na baadhi ya hizi dalili.
 
Huu ugonjwa kama huko mitaani tungeona hata videos mana watanzania wanapenda kurekodi matukio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ugonjwa kama huko mitaani tungeona hata videos mana watanzania wanapenda kurekodi matukio.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hujanielewa, Mwafrika wa kawaida mpaka ifahamike anaumwa Corona utatafuta sana, tumezoea haya madude, kuumwa kichwaa au homa kupanda sio issue kwetu sisi Waafrika. Na labda ndio maana Magufuli aliita Corona "kaugonjwa".
Mimi hapa siku tatu nimeumwa mafua na yakanitoka yenyewe bila kunywa dawa yoyote, nilitumia maji moto ya limau tu na yakaniondoka yenyewe.
Tatizo wazungu kwao akikohoa kidogo tu anaita ambulance, miili yao imezoea madawa haiwezi ikajipigania kwa chochote. Ukizoesha mwili madawa kwa kila kitu, siku ukiumwa dude kama la Corona lazima uzame.
 
Speed pia inatokana na uwezo wa nchi kufanya testings, kwa mfano Burundi ni virus free ila kuna Mtanzania aliyetokea Burundi ametajwa kwenye baadhi ya waathirika.
Wiki ijayo hapa Kenya tunakusudia kufanya mass testing, maana maabara nyingi zimewezeshwa, tegemea namba kupanda kwa kasi.
Hapo Bongo nilimskia waziri wenu akisema maabara ni moja tu inayopima Corona, hivyo namba zenu zitaendelea kubaki chache kwa muda.
Ni kweli mkuu ila magonjwa hayafichiki.
 
Ni kweli mkuu ila magonjwa hayafichiki.

Hauwezi ukaficha kwa makusudi ukiwa na uwezo wa kufanya mass-testing utaitaja tu kama ilivyo ili jamii ikae tayari.
Marekani leo ndio wanaongoza kwa idadi ya walioambukizwa, ila ni kwa sababu wao wanafanya mass testing, japo wanaongoza kwa maambukizi, kwao hawafi kama mataifa ya Italy na kwingine, maana huko kwingine utakuta kunao wengi wanakufa hata kabla ya kufikia kupimwa.
 
MK254 nimependa sana "ujibuji" wako wa maswali na uelewa wako juu ya COVID-19.
Nakubaliana na majibu yako yote uliyowajibu wachangiaji hapo juu.

Jirani zangu, walipimiwa nyumbani jumatatu wakakutwa positive lakini mpaka sasa hivi hawana dalili tuu yoyote. Mmoja alikohoa kohoa juzi akatumia dawa za kawaida kikohozi kikaondoka. Mmoja kaanza kukohoa leo. Na ni kikohozi cha kawaida kabisa hakiambatani na homa yoyote na kushindwa kupumua.

Wasingekuwa tested positive wala hakuna mtu angehisi ni Covid-19.
Na hapo wakirudi kupimwa si ajabu vipimo vikasoma Negative yaani wamepona.

Ni kweli kwa sasa US wanapima hadi ambao hawana hata dalili ndio maana namba ya case mpya inakuwa kubwa sana. Lakini tofauti na nchi nyingine, hapa maambukizi namba ni kubwa lakini ni wachache wanaoumwa hoi hospital wengi wapo nyumbani na hawana dalili yoyote. Wengine wanakohoa wanapona, wengine mafua siku mbili tatu wanapona.

Kipindi cha wiki kadhaa nyuma US walikuwa na uhaba wa vipimo. Hivo hospital nyingi walibandika matangazo kabisa kwamba watakaopimwa Coronavirus ni watu wenye vibali maalum na sio kila mtu anayetaka kujua afya yake. Ndio maana katika wiki hizo US ilikuwa na namba chache sana. Tofauti na sasa.
 
Back
Top Bottom