mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,277
- 44,813
hospital ganiHuwaoni ila wanapimwa hospitali
hospital ganiHuwaoni ila wanapimwa hospitali
Kupokea chanjo si hoja, hoja kuchanja wajanja hamtaki kuchanja.Pamoja na chanjo za aina zote tunazopokea bado hatuaminiki?
Ndiyo ujue sukuma gang siyo wasukuma ni wazarendo ,siku zote mnasema sukuma gang ni wasukuma sasa leo umethibitisha mwenyeweTofautisha makabila na itikadi za magenge ya kikabila.
Kwa taarifa yako Goodluck Minja kama walivyo Kingai, Jumanne, Sabaya, Kondakta na hata Mahita wote hao ni wafuasi mahiri wa Sukuma Gang!
Ndiye huyo huyo, yaani hajui kama teknolojia haidanganyi, ila angekuwa na kipindi redioni angewapa wengi!.Au ni huyu mwamba CM 1774858 na moja ya nyuzi hizo ni huu?
Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu imeagiza Jumla ya ambulance mpya 395 na magari 214 kwa ajili ya chanjo
Ndiyo ujue sukuma gang siyo wasukuma ni wazarendo ,siku zote mnasema sukuma gang ni wasukuma sasa leo umethibitisha mwenyewe
Tanzania na mabeburu ni mfuniko na chupa. Watalegeza tuuuuuHangaya yeye mwenyewe ansemaje kuhusu hiyo vita ya kiuchumi?
Tanzania na mabeburu ni mfuniko na chupa. Watalegeza tuuuuu
Wanahangaika tu, Covid ni ya kuishi nayo tu, haiishi leo wala kesho. Alafu si wanechanja hawa? Wanaogopa nini sasa?
Inasikitisha===Pentagon chief tests positive for Covid-19
US Secretary of Defense Lloyd Austin tested positive for Covid-19 after experiencing mild symptoms and will now stay in quarantine for the next few days, where he will continue to lead the Pentagon in a virtual capacity.www.rt.com
Mtu wa Pentagon anashukiwa hivi wakati kakamilika kichanjo.Kwa na nini tusijikubali na maamuzi yetu ya awali?
===Pentagon chief tests positive for Covid-19
US Secretary of Defense Lloyd Austin tested positive for Covid-19 after experiencing mild symptoms and will now stay in quarantine for the next few days, where he will continue to lead the Pentagon in a virtual capacity.www.rt.com
Mtu wa Pentagon anashukiwa hivi wakati kakamilika kichanjo.Kwa na nini tusijikubali na maamuzi yetu ya awali?
Pamoja na chanjo za aina zote tunazopokea bado hatuaminiki?
Very right. Ingawa yeye aliamini katika kutoa uhai wa “msaliti” kifichoni kama adhabu sahihi.Hakuna mwenye mkataba na UHAI.
Siku yako ukifika utaondoka tu.
Iwe Corona,ukimwi, malaria n.k
NI suala la muda.
Maradhi ni chanzo tu.
Kwani charles mbowe nae alipuuza corona?Very right. Ingawa yeye aliamini katika kutoa uhai wa “msaliti” kifichoni kama adhabu sahihi.
Anyway, the point is, asingepuuzia kujikinga na Covid 19, big possibility leo angekuwepo kutimiza ndoto yake ya kutawala “milele” na kuinyosha nchi iwe kama alivyotaka.
Tunalo tatizo la kutojua kwa nini chanjo ni muhimu. Lawama ziwaendee wahusika wa upotoshaji ulioyazaa hayo. Humo wote awamu ya tano na sita yanawahusu:
Madhara ya Awamu ya Tano yanayofumbiwa Macho
Kwani charles mbowe nae alipuuza corona?
Sasa siuelezee hapa umuhimuwake, kwani mbaka uweke ma link.
We tueleze kwanini tumechanjwa na tunaonekana hatari.
Kwani yeye na wao siwamesha chana!.Sasa atasafiri vipi sasa na watu wake kutafuta masoko na wawekezaji
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Very right. Ingawa yeye aliamini katika kutoa uhai wa “msaliti” kifichoni kama adhabu sahihi.
Anyway, the point is, asingepuuzia kujikinga na Covid 19, big possibility leo angekuwepo kutimiza ndoto yake ya kutawala “milele” na kuinyosha nchi iwe kama alivyotaka.