joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Hakuna jiwe litakalosalia bila kuguswa, mapambano yanazidi kupamba moto kila kona ya nchi, japo Jirani wetu wa kaskazini anajaribu kupenyeza watu wake ili kutuletea virusi, lakini tutaendelea kuwakamata na kuwarudisha kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app