Corona: Kirusi kinaweza kusafiri umbali wa futi 13 hivyo kwenye mikusanyiko tukae umbali wa mita 4 kwa usalama wetu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,867
141,797
Nimeikuta hii kwenye makala moja ya kitabibu kwamba kirusi cha corona kinachosababisha ugonjwa wa Covid 19 kina uwezo wa kusafiri umbali wa futi 13.

Hivyo wataalamu hao wanashauri kàtika mkusanyiko wowote umbali kati ya mtu na mtu kwa kila upande ili kujilinda na maambukizi ni lazima uwe mita 4 au zaidi.

Hivyo uwapo kwenye mkusanyiko wowote chukua tahadhari hiyo ili Ujilinde wewe mwenyewe na Umlinde mwenzio.
Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
 
Magonjwa yanayoambukiza kwa upepo kupitia respiration system kwa kiumbe hai huwa ni mabaya mno... ni zaidi ya genocide..

Kwa wale wafugaji wenzangu hasa wa kuku na the k'motos watakubakiana na mimi...

Unaweza kulala una kuku 1000 bandani kwako kesho yake inabakia na kuku 4 tu....

Mafua makali ni balaa kwa viumbe hai...ukishindwa kupumua tu wafwaa!!
 
Nimeikuta hii kwenye makala moja ya kitabibu kwamba kirusi cha corona kinachosababisha ugonjwa wa Covid 19 kina uwezo wa kusafiri umbali wa futi 13.

Hivyo wataalamu hao wanashauri kàtika mkusanyiko wowote umbali kati ya mtu na mtu kwa kila upande ili kujilinda na maambukizi ni lazima uwe mita 4 au zaidi.

Hivyo uwapo kwenye mkusanyiko wowote chukua tahadhari hiyo ili Ujilinde wewe mwenyewe na Umlinde mwenzio.
Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
Mate makohozi na yatokanayo na chafya yaweza kwenda mbali zaidi kutegemea uelekeo wa upepo, mwinuko n.k.
Mfano kutoka ghorofani mate yaweza kwenda zaidi ya mita 20 kama kuna upepo.
Hivyo umbali wa kusafiri utategemea mazingira na hali halisi.
Akili ya kawaida ni muhimu sana katika mapambano kuliko kukariri yanayosemwa au kuandikwa.
 
Ndio maana wamesema kwenye mikusanyiko siyo juu ya miti!
 
Back
Top Bottom