Corona: Kenya waanza kulalamikia Tanzania kwa kuanza kulipiza kisasi

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Huu mchezo sio wa kukurupuka, Tanzania ikianza kujibu mapigo, hakuna nchi inayoweza kuhimili mikiki mikiki yake katika ukanda huu.

---

Kenyan truck driver wants the Government to intervene and save them from stereotype they are being subjected to by Tanzanian authorities during this period of coronavirus pandemic.
34a4e2cf387374e7c5e8af8f84cf7f19

Truckers complain of discrimination in Tanzania. Photo/courtesy
According to Kenya Transporters Association Chief Executive Officer Mombasa branch Dennis Oloo, Kenyan truck drivers are met with harsh treatment upon arrival in Tanzania where they are denied access to essential services like hotel and lavatories.

‘’It’s really inhumane how our drivers are being treated in other East African countries. Tanzania for instance, they are not even allowed to buy water from the residents, they are forced to carry containers where they relieve themselves after being locked out of hotels and latrine services"

‘’The situation is currently worse to an extend that our drivers are labeled corona by the residents, and Tanzania Government is doing nothing about it as if the pandemic is a Kenyan disease being spread by Kenyans,’’ he complained.

The drivers however, have breadth a sigh of relief after Mombasa County Government heed to their cries and waved the Ksh6,00 that they were being charged for the mandatory coronavirus test.

The lorry drivers who deliver cargo across East Africa, in a month, they are required to take two tests to confirm their infection status. The test result is valid for 14 days. The first test was costing Kshs. 6,000 with subsequent tests being charged at Kshs. 2,000 per test.

Meanwhile, details of coronavirus status in Tanzania remain scanty since there are no reports of new infections since the last information was released on April 29, 2020, this despite her citizens testing positive for the virus in the neighboring countries.

Zambia on Monday closed its joint border with neighboring Tanzania after experiencing the highest spike of coronavirus infections last week, local media reported.
 
Hao madereve hata mkipenda, wafungeni. What we know Tanzanians are now feeling the heat of border border restrictions and I don't think we are going to loosen the tightness very soon. Wanalia huko twitter kweli kweli. Saa ii hakuna nchi inataka kuwa jirani na nyinyi. Zambia wamefanya border, Malawi wamefanya border, Kenya strict rules for Tanzanians entering Kenya, Uganda and Rwanda the same.
 
Hahahaha, na bado, tutawatandika kama watoto wa chekechea, hamna uwezo wa kucheza na Tanzania ninyi. Tanzania is the Giant of East Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Giant yupi country ingine inafanya kipimo in their own land contrary to what Kinjeketile wants. Kenya hawapimi dereva ma malori huku side za Kenya but on your side something that only Kenya has managed to do among your neighbors. Hiyo inaonyesha kuwa Kenya inadharau Tanzania and there is no single thing their your Authority can do to block the testing on Tanzanian side.
 
Why should Tanzanian drivers going to Kenya if not for the benefit of Kenyans, we don't need anything from Kenya, that's why we can do whatever we want with Kenyan drivers and we lose nothing out of it, in case borders are totally closed, who will suffer?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why should Tanzanian drivers going to Kenya if not for the benefit of Kenyans, we don't need anything from Kenya, that's why we can do whatever we want with Kenyan drivers and we lose nothing out of it, in case borders are totally closed, who will suffer?

Sent using Jamii Forums mobile app
Then why are your countrymen crying? Kwanza wameanza kulia na hatujafunga border bado, what if we finally decide to close it?
 
Watanzania wanalia kweli kweli😂😂😂

Haujui kiswahili?

Taasisi ya habari ikiripoti tukio ni Tz wanalia?

Kwizera? Hakuna jina la kiTanzania la hivyo. Huyo ni mshkaji wa Rwanda akiripoti kilichopo.

MTanzania gani analia?

Hakikisheni mna mahindi ya kutosha. Yasijirudie ya njaa kali, na watu kufa njaa katika nchi yenu ya uchumi wa kati.
 
Then why are your countrymen crying? Kwanza wameanza kulia na hatujafunga border bado, what if we finally decide to close it?
Mtanzania gani anayelia?, mnaolia ni nyinyi mnaosema Magufuli hatiki kushirikiana na wenzake. Ukweli tusema, ni kitu gani kitakachowafanya watanzania kuvuka mipaka na kuingia Kenya katika kipindi hiki kigumu?.

Kenya inahitaji Chakula na raw materials toka Tanzania, Je Tanzania inahitaji kitu gani muhimu toka Kenya?. Ningekuwa Magufuli ningefunga huu mpaka japo kwa miezi mitatu ili kuwatia adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, hao ni wakenya wanaokuja Tanzania, hata hayo makampuni ya mabus toka Mombasa kuja Tanga ni kampuni za Kenya, kwahiyo mnawatesa watu wenu wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
For your information, look at the picture in that tweet alafu kuniambia ni Kampuni gani ya Kenya iko na gari kama hizo? Hizo boxes za match sticks are only found in Tanzania.
 
wakenya wanapenda kulalamika sana.wao walivo funga horohoro na namanga waliona raha sana.na sisi wananchi wetu wakatulia tulii.ila wao kuja kwetu kelele kibao
 
Mtanzania gani anayelia?, mnaolia ni nyinyi mnaosema Magufuli hatiki kushirikiana na wenzake. Ukweli tusema, ni kitu gani kitakachowafanya watanzania kuvuka mipaka na kuingia Kenya katika kipindi hiki kigumu?.

Kenya inahitaji Chakula na raw materials toka Tanzania, Je Tanzania inahitaji kitu gani muhimu toka Kenya?. Ningekuwa Magufuli ningefunga huu mpaka japo kwa miezi mitatu ili kuwatia adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
You just relax and see how the match will unfold. You to know right now every country in East Africa doesn't want to associate itself with Tanzania.
 
Back
Top Bottom